Dina Marios, tafuta mtu akushauri mavazi

Dina Najua Upo Hapa JF, Kwanza nianze kwa kukusifu, Dina wewe ni Mwanamke Imara sana, Kwa yale Ambayo Nayaona mimi. Sikujui personal, Ila Kwa maandishi yako, Ongea yako kwenye vyombo vya habari, Malezi yako kwa mtoto wako.Dina hata ukija taka kuolewa wewe utakuwa mke mwema sana kwa mumeo.
Mimi Napenda Sana Vile Unapanda Mauwa Nyumbani kwako, napenda vile Unapenda Jiko Yaani Misosi Yako ukituwekea Picha, Hata sijui kama unae msichana wa kazi au Unapiga Mzigo Mwenyewe. Zaidi ya YOTe ni vile huna dramas katika life style yako, yaani mi unanikosha sana Dina. Kwa u star Ulionao Dina Uko humble Sana.
Sasa La Pili Hili Ndio hasa Ujumbe Wangu Kwako, Dina umenenepa sana, yaani Hupendezi, Dina Najua huwa unafanya mazoezi, Maana Unatuwekea Picha za Mazoezi ila Sasa Mazoezi Bila kunguza Posheni/Ujazo wa Chakula ni Bure.
Tatu Na La Mwisho, Dina Tafuta Mtu Wa kukushauri Kimavazi, Yani Mtu awe Kama Hana Wana Mitindo, Noel, Rio, Kadinda, Hasanali au Hamisa.
Hii Picha Ndio Imenifanya Nikwandie Haka Ka Ujumbe
Boss Marehemu alishafagia hapa
 
Huyu dada ni shabiki wake huko intragram napenda sana nukuu zake
1071219
 
Mkuu....
Kwani wewe haujui kwamba wanawake wengi huwa wanapenda kupiga picha wakiwa wamegeuka...!!??
By the way, huyo Dina ni Disii wa wapi kwani...!!??
Dina ni Mama machachari sana Katika Tasnia ya utangazani, u DC achia kina buku saba haha
 
kila mtu ana celebrity wake anayemfuatilia sasa we si ufunguke vuzuri hi zo tetesi sababu huyo dina inaonekana mnafanya nae kazi
Yes kila Mtu ana otu wake mi napenda sana Dina, ako na akili kubwa flani hivi
 
Binadamu tunapenda kupangiana maisha sijui kwanini tu
Hao ndio ma super star wetu, lazima tuwaambie pale tunapoona mambo hayatupendezi tena. ila angekuwa dula, mwajuma toka gongo lamboto wala tusingejali hahaha
 
Watu mna muda wa kuchezea, sasa wewe maisha yake yanakuhusu nini..!?

Mwache aishi apendavyo na impendavyo mwenzi wake..


Sent from my iPhone using Tapatalk
Hayanihusu, ila mi nishabiki yake, ndio kazi yetu mashabiki kushabikia hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom