Ww Lazima utakua ni s.h.o.g.aNajua Kwa mwanamke uongeza urembo sasa Kwa mwanaume ni za nini au ndo mwanaume kuwa na Sura ya kike
Mie ndo najifahamu tabia zangu sio wew.wala Mimi wakati napost sikuwa na mawazo ya kishoga .we unayewaza ushoga ndo shoga.kwanini unakimbilia kuwazia hivyoWw Lazima utakua ni s.h.o.g.aView attachment 977271
Ungekua nazo usingesema hayaMwanaume kuwa na dimpoz ni umamiloo.
Mtafute Mungu alipo atakupa majibu maana kaumba viumbe vyote na anajua kwanini hiki kiko hivi au vile!Najua Kwa mwanamke uongeza urembo sasa Kwa mwanaume ni za nini au ndo mwanaume kuwa na Sura ya kike
Dimpoz ni aina ya ulemavu wanavyosema wanasayansi.