Dimpoz kwa mwanaume ni za nini?


instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
2,713
Likes
2,083
Points
280
Age
23
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
2,713 2,083 280
Najua Kwa mwanamke uongeza urembo sasa Kwa mwanaume ni za nini au ndo mwanaume kuwa na Sura ya kike
 
Two dimension array

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Messages
1,379
Likes
1,681
Points
280
Two dimension array

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2018
1,379 1,681 280
Kwa mwanaume kujichubua kuna maanisha nini!?
 
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
17,521
Likes
27,010
Points
280
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
17,521 27,010 280
Hakuna Kapicha wakuu?? BAK nakuaminia kwa mafoto na myuzik
Cc Smart911
 
kethika

kethika

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
622
Likes
436
Points
80
kethika

kethika

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
622 436 80
Mmm wakati wote dimpoz ni urembo kwa mwanaume na mwanamke
 
Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
7,722
Likes
10,116
Points
280
Mr Q

Mr Q

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
7,722 10,116 280
baadae naomba uwaulize wanabodi juu ya hizo chuchu kwenye kifua cha mwanaume zinamaanisha nini
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
8,626
Likes
13,599
Points
280
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
8,626 13,599 280
mwanaume mwenye dimpozi anavutia zaidi kuliko ke..ila wanakuwaga na mashauzi.ya ajabu
 
mtzedi

mtzedi

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Messages
2,562
Likes
1,447
Points
280
mtzedi

mtzedi

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2011
2,562 1,447 280
Mwanaume kuwa na dimpoz ni umamiloo.
 
M

mpirani gonja

Member
Joined
May 14, 2018
Messages
73
Likes
52
Points
25
M

mpirani gonja

Member
Joined May 14, 2018
73 52 25
Najua Kwa mwanamke uongeza urembo sasa Kwa mwanaume ni za nini au ndo mwanaume kuwa na Sura ya kike
Mtafute Mungu alipo atakupa majibu maana kaumba viumbe vyote na anajua kwanini hiki kiko hivi au vile!
 
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Messages
4,629
Likes
6,021
Points
280
Age
28
agata edward

agata edward

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2014
4,629 6,021 280
Niliwahi kusikia dimpoz ni ulemavu
 
yusufu SAidy

yusufu SAidy

Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
41
Likes
16
Points
15
Age
26
yusufu SAidy

yusufu SAidy

Member
Joined Oct 18, 2015
41 16 15
Kwanza ifahamike kuwa dimpoz ni aina moja wapo ya kilema ila kwa nchi za ukanda wa Africa wanafanya kama urembo
 
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
2,638
Likes
670
Points
280
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
2,638 670 280
Japo hukunilenga mimi ila nimekerwa na post yako... Hivi mtu kuwa na dimples unachagua au ni automatically unazaliwa nazo? Kwanini muanze ku critisize uumbaji?
 

Forum statistics

Threads 1,261,553
Members 485,226
Posts 30,095,217