Oa wote, kama dini hairuhusu badili ili uwafaudu wote:A S angry:
Hehehehehe.......... labda hii yaweza kuwa ndio dilemma mkuuI think i need to review the definition of the word Dilemma...
Wewe aisee akili yako ina akili sana, labda anadhani atakula sura!.we kwa mtazamo wako unahisi utakula sura na umbo.:shut-mouth::shut-mouth:
Hao ndiyo "just friends"?
hahha safi kijana wala usiwe na presha hapo chakufanya ni kunata kwa huyo mwenye juhudi alafu mrembo unaendelea kumgegeda tuu....kwanza hao warembo raha sana kuwa chezzea na kujisepea zako
I think i need to review the definition of the word Dilemma...
Usisahau kureview maana ya tendo la ndoa
wewe umezini afu unasema umefanya tendo la ndoa,,, ndoa ipi hapo? rekebisha kauli ndoa sio lelemama.......Heshima kwenu wanaMMU. Naomba busara zenu ktk hili. Kuna wasichana wawili marafiki zangu(hawajuani), na wote nimeshawah kufanya nao tendo la ndoa. Wa kwanza ni mlimbwende kweli, yan ukipita nae njian lazima vijana kwa wazee rijali wakugeukie but weakness yake kubwa ni mvivu na haelekezeki. Wa pili ni wakawaida na ni mchapakazi kweli yan hata uki"do" nae huishi hamu utataka tena na tena. Problem inakuja sasa nani nijicomit nae permanently coz wa kwanza ni mzuri wa sura na umbo but ni kilaza ktk majukumu yake, but wa pili hana mvuto wa sura but anajituma kwa kila kitu. Nipo dillema wadau, just yo advice!
Best of luck!
Heshima kwenu wanaMMU. Naomba busara zenu ktk hili. Kuna wasichana wawili marafiki zangu(hawajuani), na wote nimeshawah kufanya nao tendo la ndoa. Wa kwanza ni mlimbwende kweli, yan ukipita nae njian lazima vijana kwa wazee rijali wakugeukie but weakness yake kubwa ni mvivu na haelekezeki. Wa pili ni wakawaida na ni mchapakazi kweli yan hata uki"do" nae huishi hamu utataka tena na tena. Problem inakuja sasa nani nijicomit nae permanently coz wa kwanza ni mzuri wa sura na umbo but ni kilaza ktk majukumu yake, but wa pili hana mvuto wa sura but anajituma kwa kila kitu. Nipo dillema wadau, just yo advice!
Best of luck!