Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
Heshima kwenu wanaMMU. Naomba busara zenu ktk hili. Kuna wasichana wawili marafiki zangu(hawajuani), na wote nimeshawah kufanya nao tendo la ndoa. Wa kwanza ni mlimbwende kweli, yan ukipita nae njian lazima vijana kwa wazee rijali wakugeukie but weakness yake kubwa ni mvivu na haelekezeki. Wa pili ni wakawaida na ni mchapakazi kweli yan hata uki"do" nae huishi hamu utataka tena na tena. Problem inakuja sasa nani nijicomit nae permanently coz wa kwanza ni mzuri wa sura na umbo but ni kilaza ktk majukumu yake, but wa pili hana mvuto wa sura but anajituma kwa kila kitu. Nipo dillema wadau, just yo advice!
Best of luck!
Best of luck!