Dilemma!!!

Akina kaka tumezidi kula chipsi yai usiende kwenye mishe mchana kuta kila siku unaagiza chipsi mchana matokeo yake ndo haya,usijali sister unaweza kumbadilisha ila huyo boy wako nae sio mdadisi mtafutuie mikanda ya kamasutra au how to make love!!! Atajua akuandaaje.
 
now bob's your uncle...so you know where the problem lies huh...
 
Yaani mwanaume unafanya mapenzi na mwanamke nashindwa kujua kama ameridhika au la kweli watu tunakurupuka sana,njia rahisi niliyoisikia hivi karibuni na hii ni message kwa wanaume wote ni kwamba du ukimshughuliia vizuri wakati wa match lazima alale halftime
 
Special copy kwa mjasiria ujumbe unafiki mbaya
 
Last edited by a moderator:

Weka Picha yako hapa tukupe ushauri zaidi. Unaweza kuwa haulipi ndio maana jamaa akawa hajakuambia muda wote huo kuwa anakupenda wala kukuomba namba ya simu. ulivyojipendekeza tu akaona aweke historia. Labda wewe ni fourth choice kwake huna uzito kivile kwake .
 
hili ni janga la kitaifa sasa, kuna vitu vingi sana vinasababisha nguvu za kiume kupungua. style ya maisha, vyakula tunavokula, hatufanyi mazoezi, na maradhi mbali mbali. huenda your man akawa muhanga wa tatizo hili. (dah.., mie dem kwa mara ya kwanza nikeshe nae lazima nipige bao 7++)

pia angalia kwa upande wa pili..., inawezekana na wew ukawa chanzo.., labda una kasoro flan ambayo inamkera jamaa yako alaf anashindwa kukwambia..,( labda k kubwa anaogelea, kiharufu kisicho cha kawwaida, au si mhamasishaji mzuri nk..nk..).

kutatua tatizo hili kaa nae mzungumze, kuwa muwazi kuwa huridhiki na huduma yake.., akwambie kama anaona wew una tatizo, au yeye ana nin kinamsumbua. kama kweli unampenda, usimkimbie tafadhali, maliza tatizo muishi kwa amani.
 
Tutake radhi aiseee
Sio wote wenye matatizo haya ya kijinga

Halafu rekebisha lugha
Sio wanaume ni wavulana

Pia hilo sio tatizo la uume bana ni uvivu na ujinga ukichanganya na u digitali
CC: Kaizer kwa taarifa!


Mkuu Eiyer taarifa hii imepokelewa.......
 
Last edited by a moderator:
wengine wanakuwa na mausingiz yao, kafanya kazi kutwa nzima amejichokea, unapretend kafika ili umalize apige zake usingiz... kalaghabaho
 
babu naona unajipigia pande...


Wewe kalou,

Nani kakwambia babu anahitajia hizo marketing strategies zenu na promos??

He is safe and comfortable with his pension....

Kama huamini shauri yako...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Inachekesha na kusikitisha sana.....

Yaani boy ndiye anakimbia na kutia mpira kwapani??

Bado sijawahi ona kitu kama hii....

Tunawasaidiaje sasa?? .....We need to help them before we getting asked to do their job!!

Babu DC!!
kweli mimi nashangaa sana, jipangeni aisee, mambo yanaharibika.....
enzi zetu yaani hutamani hata kulala kwake maana unajua unaweza zimia kabla ya asubuhi. yale masaa mawili ya kutoroka home tu ukirudi home unawahi glasi ya maji na panadol, unanywea mbele ya mama, kudanganya kuwa unaumwa ili usipewe kazi ya kuunga mboga, hali tete, unahitaji kulala tu. sasa usiku mzima si unaweza fia njiani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…