Dilemma!!!

“Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya” (Qur'an 17: 32).
 

Ndo ujue haitoshi. Jitahidini kula ugali wa dona na uji wa ulezi.
 
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....

una vijembe ?
 

Uko sawa Babu

Wengine watu ikifika muda wa kurudi nyumbani anaanza kuwaza sijui leo itakuwa vitano au saba maana anakuwa anajua mzee akipanda hadi anahisi inawaka moto

Hivi vivulana eti vinajidai ni vi mtu vya digitali wakati vinatia aibu sana,itabidi babu mrudi ili kutoa somo la uhakika maana hii sasa ni hatari

Nina hasira sana na hako kavulana,najua huyo dada ameshajenga hisia za kuidharau hii jinsia adhimu kabisa ambayo Mungu alipoiumba aliipa heshima kubwa sana

Natamani nimuoneshe huyo dada namna MWANAUME anavyotakiwa kushughulika..lol!
 
Hivi unafikiri mjamaa yake yalikuwa na tbs?mi nahisi yake yalikuwa kama ya kuku.
cc Nndu wa Selote
 
Last edited by a moderator:
Shikamoo Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....

Hilo neno shost,kula usishibe heri usipewe!!!
 
Narudia tena mpeleke hospitali akapime homoni zake tostestorone Kama zipo sawa au zimeshuka acha kulalamika chukua hatua bidada.
 


Baba paroko mie nimeona hapo tu!
cc. asakuta same
 
Last edited by a moderator:
pole dada kumbe wanaume wengi wanamatatizo ya uume .............. nini tatizo?
 
Asee! Kweli kwenye miti hakuna wajenzi. Watu wengine wana bahati sana.........
 
ningempata huyo !!!!!! sio mtu anahamia kwenye k hadi inawaka moto ukitoka hapo brek ya kwanza hosp
mdogo mdogo ndo mwendo kwa afya
 
[/B]
Baba paroko mie nimeona hapo tu!
cc. asakuta same

Wewe hujui hata parokiani wale waumini wanaofanya mzaha na huduma hii adhimu tunalazimika kuingia kazini wenyewe ili kuwaonesha waume wa hao waumini wetu namna ya kushughulika?

Hebu msome Babu Dc hapo uone namna hali inavyotulazimisha wakati mwingine kuingia mzigoni wenyewe ili hivi vivulana vione umuhimu wa hiyo makitu

Halafu umbea wako huu!!!!

Ole wako ukamuambie Heaven on Earth
Nitakufukuza parokiani...lol!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
pole dada kumbe wanaume wengi wanamatatizo ya uume .............. nini tatizo?

Tutake radhi aiseee
Sio wote wenye matatizo haya ya kijinga

Halafu rekebisha lugha
Sio wanaume ni wavulana

Pia hilo sio tatizo la uume bana ni uvivu na ujinga ukichanganya na u digitali
CC: Kaizer kwa taarifa!
 
Last edited by a moderator:
Hapo kuna matatu aidha
  • Jamaa hana uwezo mkubwa wa kungongoka ka wewe kwasababu watu wana sexual desires tofauti
  • Au ni mgonjwa si mzima
  • Au kuna mtu anamridhisha na kumchosha akifika kwako ndo kama hivo!!!

Upo malkia?
 
Babu DC nimemsoma ila wasiwasi wangu mtaenda kwa wangapi? Maana hili limeshakuwa janga la kitaifa ujue,nanyi ndio umri unakaribia semester ya mwisho wasije wakawa over work mka under perform heshima yenu nanyi ikashuka.
Kuhusu parokiani nitaongea na Heaven on Earth tuanzishe kitengo cha marriage counsellors wamama watupu ili kuokoa parokia
 
Last edited by a moderator:
He is 29yrs old and i am 28. He is a business man.
 

Mimi nina wasiwasi na Babu Dc tu,lakini mimi niko fiti mbayaaaaaaaaa

Naweza ku deal na hata wanne kwa siku kama nitakuwa nimechoka sana siku hiyo
Wengine tuna mapafu ya cheetah

Vinaunganishwa vinne ..lol!!

Sasa wakati mwingine tunamhurumia laaziz ili asichoke maana nikiamua kuliendesha libeneke atalala hadi kushindwa kufanya majukumu yake

Nyakati za nyuma vivulanma vyenye uzembe kama huu vilikuwa vinatandikwa viboko hadharani na kufanyishwa mazoezi ambayo vilikuwa vikitoka huko vinakuwa vina hasira inayovifanya virudi kwenye mstari

Hivi vya sasa na hizi chips ni majanga matupu

Kavulana hakawezi hata kumaliza ugali wa dona robo kilo huyo ni kijana mtarajiwa kweli?

Sisi wakati huo tuko kijijini tulikuwa tunaletewa ugali wadona la kutwangwa kwenye kinu kilo 4 na tuko watatu tu na maziwa mgando yale ya ukweli yakiwa yamejaa ujazo kama wa lita 7 hivi

Uanliwa ugali hadi unakwisha mnaendelea kulima,kumbuka hiyo ni kama saa 5 au 6 hivi na hiyo ndio chai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…