McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Yaani Babu majanga matupu, sijui nitaleaje wajukuu zako wasije kukosa heshima huko mbeleni.
Hii ni hatari kwa kizazi kijacho kabisa, injini zina mgawo hatare sana wa mtera.
!
!
mh!pole sana kwa kweli......vunja ukimya, usikute akiwa anapiga nyeto anatupia hat trick na anaondoka na mpira
the way you sound i can imagine ure about 34 and above na me nina 39
Pamoja na heshima zote kwako teacher,
Bado natofautiana na wewe kuhusu siku ya kwanza kwa Me. Hata kama perfomance siyo Maximum ila mtu anajitahidi kuonesha viwango vya kutosha ili kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza.... Kwa KE nasikia huwa imetawaliwa na hofu kibao...mtasema wenyewe!!
Kama nakosea, ngoja wakubwa wenzangu wakuje watusaidie kukata hili shauri...
Kaizer, The Boss, Asprin, BAK, Eiyer, Mtambuzi, Fixed Point,
Babu DC!!
Hommie, tazama, mimi ni nani nayeweza kufunga vidamu vya viatu vya Dark City?
Mke wa ujana wangu.... am 40 ujue.......na muda huwa haurudi nyuma. I wish ungerudi LOL
Unaweza kuwa sahihi kuhusiana na mimi lakini umenidanganya kuhusiana na wewe!!!!!!!!
Hommie, tazama, mimi ni nani nayeweza kufunga vidamu vya viatu vya Dark City?
Ni mimi tu hapa nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari....
Sasa waweza niruhusu mtumishi wako nienende na amani??? Kwa kuwa macho yangu yamemwona Bwana......:amen::amen::amen::amen:
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....
how do i sound like?