Ndivyo inavyotakiwa
Theoretically and practically kwa wale wa 1947......
Ina-apply na kwa hawa pasua vichwa wa dotcom??
Babu DC!!
ha haaa, basi silalamiki tena, lol!Mie sisemi tena,
Unajua mpaka mwanamume anakimbia mechi, kule kwetu (na enzi zetu za 1947) wakubwa wenzake wangeanza kufanya maandalizi ya msiba.....Midume inaumwa na kutetemeka ila bado inang'ang'ania msosi tu kama mtoto wa mwaka mmoja na nusu anavyopigania ziwa ili asiachishwe kunyonya....Chezeya michozo ya kikubwa wewe!!
Kuna babu mmoja (kule kijijini) alikuwa na kama miaka 85, ila alikuwa anakimbizana na vimama kwenye kilabu za matapu tapu utadhani ndiyo kabalehe...ingawa nasikia waliomwenea huruma nao waliishia kumwomba Mungu wasiishie jela kwa kusababisha kifo cha babu wa watu....Dozi ilitoka wakati mtu anakuwa kama anakaribia kukata roho!!
Haya yanayotkea sasa hivi bwana sipati picha mie....
Babu DC!!
unajua hawa wa dot com hawajui wanachokikosa. wababa huwa wakakua sana kichwa wakiona wao ndo wanaonekana kuwa kichwa cha nyumba. hata wanangu pale pamoja ni kwamba wadogo but ukimwita big boy hata umtume nini atajikakamua na kukifanya hata kama kipo juu ya umri wake.Wewe sina tatizo...ila unadhani hawa watoto wa dotcom watakubaliana na wewe?
Nadhani mnapoteza muda wenu huko kwenye kitchen parties!!
Babu DC!!
yap kuna mambo ya msingi sana ya kujifunza................wazungu wengi wakionjeshwapo utamu na kaka zetu huwang'ang'ania sana sababu kubwa ni kwamba wao ma buger ma piza na viepe yamewaua nguvu kabisa wamebaki wabaridiii utafikiri reptilia.
sasa uje kwenye shughuli ya mswahili gemu la uhakika na muhogo wenyewe ni wa jang'ombe kweli kweli............
kama tukilea watoto kwa madeko watoto wa kupata menu subway, sijui watoto wa bugger na pizza, watoto wa kunywa coca cola na novida na ice cream msitegemee kupata watoto marijali tena hawa ambao shule kwa skul bus maji yanatoka kwenye shower misosi ndo hiyo junk foods unategemea nini??
umeona eehhh!Ni lazima wafike waamue lifestyle ya kuishi
ama waishi kisasa ambapo mvulana anaweza kuwa na 'boyfriend'
na msichana akawa na 'girlfriend'
au mwanaume hayajui majukumu yake kabisa
au waishi kizamani...ambapo mwanaume ni mwanaume...
ha haaa, basi silalamiki tena, lol!
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....
hahahahahahaha!
Katika age hii ni mchovu kiivyo! akifika 40 si atakuwa mdebwedo kabisa? Na wewe hapo bado mbichi hata hujazaa...... ukizaa watoto wawili ndo hamu inaongezeka mara elfu!
Fanya maamuzi mapema kabla ya kuingia kwenye ndoa yenye majuto!
Uking'ang'aniza ukaolewa naye lazima utafanya mechi za mchangani penda usipende!.... Cheaters.com itakuhusu my dear! Usikubali kuolewa na mwanaume asiyekuridhisha kwa bed! Ina frustrate sana bora kukosa hela!
Ngoja kwanza hasira zangu zitulie kwanza nitamrudia huyu
Na hii ni taarifa kwa wale wanaosema eti hakuna game kabla ya ndoa,mmeona sasa?
Hebu fikiri huyo angekuwa ndoani ingekuwaje?
CC: Mtambuzi !!!!!!
Hapa ndipo mtu unatamani kumpa mtu zawadi ambayo hataisahau ila unajikuta umefungwa mikono na miguu....
Mwanamume hawezi kucheka cheka na mechi ya kwanza hata kama ina ugumu wake.... Lazima mtu apata adhabu hadi ahisi kama vile kamwagiwa pili pili kwenye macho.... May be huyu ticha gfsonwin anaongelea mambo mengine..lol!!
Hapo pengine hapna maana kwa wastaafu (na kwa maana hiyo sijapaona)...lol!!
Babu DC!!
naomba wengine wasipite huku...wakaona ulichoandika
Umenichekesha sana mkuu....
Hawa vijana wanahitaji demo kweli tena kwa amri na magwaride kama ya kule jeshini...
Tatizo ni kwamba wengine tumestaafu...
May Kaizer au Asprin wanaweza kutusaidia ku-draw master plan ya kuokoa hii species isijekuwa tunakabiliwa kasheshe kama iliyowapata dinosours..
Babu DC!!