Naomba mnipe ushauri sahihi....
Sijaoa bado so huwa na date wanawake au wasichana
tofauti ninaokutana nao,but tatizo langu ni hili...
Huwa inatokea nakutana na wasichana au wanawake ambao
wao wana prefer "mambo ya pwani" na
mimi sio mtu wa kupenda sana hayo mambo so huwa
na napata tabu .....
Sababu huwa sipendi kushindwa kumridhisha mwanamke....but
at the same time....my own belief ni kuwa its not right.
Na ajabu ni kuwa most of womens now in daresalaam wako
so into that game.....
Leo nina date na namhisi huyo lady ni walewale na jiuliza
nifanyaje iwapo atataka ni....
Sipendi kutomridhisha but my own moral standard sikubaliani...
Nimkwepe????????
sasa unataka kujiridhisha wewe ama kuridhisha watu wengine???if you have your own morals and principles,why dont you stand up to them???
Utakuwa mtu wa kupelekwa pelekwa tuuu?
You need to grow up and stand up for what you believe!
pole sana the boss!
actually hali kama hiyo mimi pia niliwahi kukutana nayo,...kijitu kinanikalia mkao wa hasara na kuniwekea linanihii lake hazarani...weweee! Nilimwambia sitaki ujinga huo, and iwas not ready 4 it!
mi sipendi upumbavu bana...usikubali kuchezewa mkuu!
iongoze akili yako kule unakoamua, na si kulazimishwa na mjingamjinga fulani.
kama vp nenda kijijini kaoe bana, wachana na macd wa huko mabarabarani.
bora nikae hukuhuku nanililu ambako wasichana hawajui mambo ya matakomatako...shiiiiit!
naishi kwa standard zangu but
ukiwa gentleman sometime unajisikia vibaya kumuacha
mwanamke kitandani akiwa hajaridhika......i just feel guilty of something,thats alll.
ha ha i cant be violent to a woman who is naked in bed.
but i did it and i do!
u seem to be extremely weak!
can`t mention a word when a woman gets naked?...huh!
angalia sana....ukimwi utakuua kama huwi strong!
Is not right! u said it all then never do that, umelelewa vizuri i belive then usivunje maadili kisa unafikiri utaonekana mpumbavu mbele ya mwanamke, INSTEAD atakuheshimu na kukuona unamsimamo.Binafsi naamini mwanaume anayetaka mambo ya pwani ni kuvunja maadili pia ni kunidhalilisha na kujidhalilisha yy mwenyewe kwani hata yy analo hilo tundu.natumia condom so najilinda....
Sio kuwa weak......its not romantic kuanzisha ugomvi kwenye
kitanda na mwanamke.....
Whats wrong if i decide to be a fool in love??????
Love itself is foolish.
is not right! U said it all then never do that, umelelewa vizuri i belive then usivunje maadili kisa unafikiri utaonekana mpumbavu mbele ya mwanamke, instead atakuheshimu na kukuona unamsimamo.binafsi naamini mwanaume anayetaka mambo ya pwani ni kuvunja maadili pia ni kunidhalilisha na kujidhalilisha yy mwenyewe kwani hata yy analo hilo tundu.
Nilifikiri unataka ushauri na kweli uko kwenye dilemma, i was wrong then!!mhhh i am curious about u.upo hapa dar??????
do it thennaishi kwa standard zangu but
ukiwa gentleman sometime unajisikia vibaya kumuacha
mwanamke kitandani akiwa hajaridhika......i just feel guilty of something,thats alll.
Pole sana The Boss!
Actually hali kama hiyo mimi pia niliwahi kukutana nayo,...kijitu kinanikalia mkao wa Hasara na kuniwekea linanihii lake hazarani...weweee! nilimwambia sitaki ujinga huo, and iwas not ready 4 it!
Mi sipendi upumbavu bana...usikubali kuchezewa mkuu!
Iongoze akili yako kule unakoamua, na si kulazimishwa na mjingamjinga fulani.
Kama vp nenda kijijini kaoe bana, wachana na maCD wa huko mabarabarani.
BOra nikae hukuhuku nanililu ambako wasichana hawajui mambo ya matakomatako...shiiiiit!
mmeniacha, mambo ya pwani ndio kitu gani?
mmeniacha, mambo ya pwani ndio kitu gani?