digitek

Inaonekana jamaa watakuwa anatumia ma-dish siyo antenna kama Startimes!
 
Nilikua nawakubali sana!lkn kwa mwendo huu...
 
Labda hizo ni za FREE. Package yenyewe bado. Au sivyo? Mmmm!! Mambo gani haya.!.?
 
wazee ,mbona tunataniana?nini hii sasa? yaani wametia mbwembwe kuja kwenye point muhimu- robo chanel tena za ovyo ovyo!kweli huu mwaka wetu ,au njama tusipate habari mpaka uchaguzi mkuu upite?
 
yaan inamaana hapo ndo wamemaliza channel zote au ni zile free tu??!!
 
kwa channels hizo labda mtu alipe shs 2000 tu kwa mwaka!!!!!
 
Wakuu wale wenye taarifa watujuze kwamba Itv na star time kila kituo kinakuja kivyake? Maana kila kampuni inatangaza king'amuzi chake wakati leseni walipewa moja. Au ndio unyonyaji unaendelea?
 
Wakuu wale wenye taarifa watujuze kwamba Itv na star time kila kituo kinakuja kivyake? Maana kila kampuni inatangaza king'amuzi chake wakati leseni walipewa moja. Au ndio unyonyaji unaendelea?

leseni walipewa ya miundo mbinu ila kwa package kila mtu ana yake,ila watatumia miundombinu ya pamoja bila kulipia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…