wenje,msigwa,sugu na lema hawarudi mimi na weka mil 2.mungu atupe uhai tufike 2015.tuone
Hela ya kula wewe mwenyewe hauna hadi umeamua kujiuza kwa magamba sasa hiyo milioni mbili utaitoa wapi?
.
Yote kwa yote teknolojia mpya imeleta faida kubwa kwa CHADEMA kwa vile AIBU zao hazionwi na watanzania wengi hivyo kuwanyima wanannchi wengi fursa ya kupata udhaifu wa chama hicho kisicho na mtazamo wa kuenea katika pande zote za nchi :embarassed2:
wenje,msigwa,sugu na lema hawarudi mimi na weka mil 2.mungu atupe uhai tufike 2015.tuone
Mimi nina wasi wasi sana na huyu jamaa hapa kwenye picha....!!!
Unamwonaje huyu (mzee wa matusi...) ????
![]()
Huyu nami simkubali; yeye alipitishwa kwa sababu Mzee Malecela alichokwa na wananchi, pia wagombea wa upinzani walikuwa hawauziki