Digitali Yaisadia CHADEMA Kisiasa

Digitali Yaisadia CHADEMA Kisiasa

Kama unafikiri kuwa chadema ilifanywa umaarufu na vyombo vya habari bado umelala wenzako walishaamka mapema na wameshasafiri mbele zaid ya hapo. Watanzania wanafuata chama chenye mlengo wa kuwa saidia wananchi.
 
Kweli wewe ni boya ! kama unafikiri kuwa chadema ilifanywa umaarufu na vyombo vya habari bado umelala wenzako walishaamka mapema na wameshasafiri mbele zaid ya hapo. Watanzania wanafuata chama chenye mlengo wa kuwa saidia wananchi.

Huo ni uwongo CHADEMA hakina taswira ya KITAIFA, CCM ina sura ya KITAIFA; chama chenu hakijavuka mto RUFIJI hata Mkuranga hakuna bendera ya CDM
 
Huo ni uwongo CHADEMA hakina taswira ya KITAIFA, CCM ina sura ya KITAIFA; chama chenu hakijavuka mto RUFIJI hata Mkuranga hakuna bendera ya CDM
Mkuu kama unachokiandika ni ukweli una kila sababu ya kufurahi, kwa kuwa HUIPENDI CHADEMA.

Waache waendelee na njia ya kuangamia, ambapo kwako ni faida kwa chama ukipendacho CCM.

Lakini nikukumbushe tu, tatizo lililopo sasa ni kuwa Watu wanataka kuona hali zao zinabadilika, na wanamwangalia aliyeko madarakani.
 
Huo ni uwongo CHADEMA hakina taswira ya KITAIFA, CCM ina sura ya KITAIFA; chama chenu hakijavuka mto RUFIJI hata Mkuranga hakuna bendera ya CDM

Mkuranga ipi.....pita barabara hii ya kuelekea Kanisa kuu la KKKT mkuranga halafu usipoona bendera za CHADEMA niambie.....!
 
da kweli wewe ni janga la Taifa!
Mfalili kikwetu maana yake usaa utokanao na jipu au kidonda kweli huyu ni usaa tena unao nuka. Digitali imeanza lini? mpaka sasa hata mwaka haija maliza nanataka kusema serukamba alivyo sema f...u na Lissu alivyo smea mwongozo wananchi wangeona nani angeumbuka? kama ndio buku 7000 ndio anaipigania? basi kweli mtaji wa cccm ni umasikini na ujinga wa Watanzania. VIVA CDM
 
Mfumo wa Digitali umeleta faida kubwa kwa CHADEMA ambao wanaendesha harakati zao za kisiasa kupitia TV; kuzimwa kwa mfumo wa analojia kwenye baadhi ya mikoa nchini imekuwa ni kupunguzwa kwa watazamaji wa TV ambao walikuwa wanapata sera za CHADEMA kupitia matangazo husika. Mfumo wa digitali ambao umekuja na matumizi ya ving'amuzi umepunguza idadi ya watazamaji wa TV hivyo kusababisha watanzania wengi kutopata uhalisia wa viongozi wa CHADEMA huku tukielekea chaguzi za 2014 na 2015.

Kutoangaliwa na wananchi wengi imesaidia CHADEMA kutojulikana kiundani juu ya sera zao za kugawanya watanzania kwa misingi ya jiografia na kiimani. Pia wabunge wa CHADEMA wamefaidika kwa kutoonekana wakati wanaposhiriki vikao vya bunge; vinginevyo wananchi wangekata nao tamaa kutokana na MTINDO WA WABINGE WA CHADEMA KUWEKA MBELE MASLAHI YA CHAMA BADALA YA MAJIMBO HUSIKA, suala ambalo ni kuweka rehani ubunge wao.

Yote kwa yote teknolojia mpya imeleta faida kubwa kwa CHADEMA kwa vile AIBU zao hazionwi na watanzania wengi hivyo kuwanyima wanannchi wengi fursa ya kupata udhaifu wa chama hicho kisicho na mtazamo wa kuenea katika pande zote za nchi :embarassed2:

Angalia inavyoisaidia CCM kuiumbua unyama wake
Mwangosi.jpgMwangosi.jpg
 
hata sangala ulisema hivi,sasa wapi sangala yenu

Sangara sasa ameshazaa watototo na wamesambaa kila mahali wakimeza kila kisamaki kinachojipitisha katika anga zao, huku mama zao CCM akiwa amashindwa kuwatetea kwa mzigo mzito alio nao wa pembe za ndovu
 
kwa lugha ya nyumbani kwetu mafilili maana yake 'makalio' sasa ninapooona post zako za namna hii nakuwa nashindwa kuelewa sijui inatokana na hilo jina unalotumia au?
 
Mafilili, mbona unaiandama cdm tu,vyama viko vingi namajina ni mengi,tatizo ukweli hamu utaki hata shabiki wa mpira huwa anashabikia timu inayo shinda,huwezi shakia timu inayoshindwa kila sikuu ambayo haendani namahitaji ya washabiki.
 
Hata mtoto wangu wa chekechea hawezi kuwa na mtazamo au fikra fupi kama hizi. Hivi kuwa mfuasi au mwanachama wa ccm ni lazima uwe mjinga? Nadhani kuna uwiano wa moja kwa moja kati ya ccm na ujinga.
 
Ukiona hivyo ujue hao watu wanajitambua na hawadanganyiki na junk politics za CCM.Hivi wewe unayejiita mwanaCCM hujisikii vibaya kukipenda Chama kinachobebwa na Spika Bungeni,Kinachopendelewa na Dora kama vile Jeshi la Polisi,Kinachopendelewa na Usalama wa Taifa na Tume ya Uchaguzi,Ujue hicho Chama ni Dhaifu mno na hakina sifa ya kuongoza Nchi kabisa.
 
Mfumo wa Digitali umeleta faida kubwa kwa CHADEMA ambao wanaendesha harakati zao za kisiasa kupitia TV; kuzimwa kwa mfumo wa analojia kwenye baadhi ya mikoa nchini imekuwa ni kupunguzwa kwa watazamaji wa TV ambao walikuwa wanapata sera za CHADEMA kupitia matangazo husika. Mfumo wa digitali ambao umekuja na matumizi ya ving'amuzi umepunguza idadi ya watazamaji wa TV hivyo kusababisha watanzania wengi kutopata uhalisia wa viongozi wa CHADEMA huku tukielekea chaguzi za 2014 na 2015.

Kutoangaliwa na wananchi wengi imesaidia CHADEMA kutojulikana kiundani juu ya sera zao za kugawanya watanzania kwa misingi ya jiografia na kiimani. Pia wabunge wa CHADEMA wamefaidika kwa kutoonekana wakati wanaposhiriki vikao vya bunge; vinginevyo wananchi wangekata nao tamaa kutokana na MTINDO WA WABINGE WA CHADEMA KUWEKA MBELE MASLAHI YA CHAMA BADALA YA MAJIMBO HUSIKA, suala ambalo ni kuweka rehani ubunge wao.

Yote kwa yote teknolojia mpya imeleta faida kubwa kwa CHADEMA kwa vile AIBU zao hazionwi na watanzania wengi hivyo kuwanyima wanannchi wengi fursa ya kupata udhaifu wa chama hicho kisicho na mtazamo wa kuenea katika pande zote za nchi :embarassed2:
CCM nashindwa kuwaelewa ingawa shetani ni mbaya lakini hutumia watu wenye akili sana kufanikisha mbinu zake eg(freemasons) huwa hawatumiki watu wenye akili au uelewa mdogo sasa ushabiki wa kijinga na kiuchanguuuu kama huu ni mbaya na unaleta taswirw mbaya kwa chama MAFILILI umeishia darasa la ngapi????????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom