ngumbaru kimada hahhahaha! TIMING, njoo kamanda mi natamani ucheke hapa. akili ya kikong'ota!
angekuwa
anafurahia
kibamia angetulia tuliii. raha ya kibamia asubuhi, unaamka unakiona
kinavyopata uhai na kufikia full size. sasa small hausi hadi ubakishiwe
mapovu saa ngapi utafurahia. mtu anakuja macho yako kwenye saa,
anaparamia awahi kwake. hahahaha, leo ni leo.
staha ni malezi
kumwibia tu mtu mme ni aibu, sasa kujisifia kwa kumuiba jumla ni kipaji.
umeona eeh. who wants to wrestle with a pig? hata paw akitembea na mwanamke wa hivi nitamdharau hadi nitashindwa kupata kilele aisee. mwanamke hana staha! hata kusema mbele za watu natembea ma mume wa mtu sitodhubutu manake ni aibu!
hahahaaa,eti macho kwenye saa...hao wezi wakiona owner yuko busy
hafwatilii wanakosa raha,wanaanza kutafuta bifu la lazima na nyumba
kubwa..duuh mmeshusha makombora mpaka kasepa
Wenye jogoo yenu nyumbani mnawindwa sana!
umeona eeh. who wants to wrestle with a pig? hata paw akitembea na mwanamke wa hivi nitamdharau hadi nitashindwa kupata kilele aisee. mwanamke hana staha! hata kusema mbele za watu natembea ma mume wa mtu sitodhubutu manake ni aibu!
King'asti ndio ujue binadamu wapo wa tofauti sana! Hivi kuna haja gani ya kuhangaika na jogoo kama una uwezo wa kupata jogoo wako ukamfuga?
Ukiona mtu anafanya hivi ujue jogoo kaisha mkimbia na hawezi kumpata mwingine!
ila kuna kitu namiss hapa, ngoja niwe mdaku.
aahahahhahha wantupatia wapi sasa!
ujuzi wa akili tunao na hayo madegree yanayowapa presha
ushangingi wa mujhini umejaa tele
sala na rozali hapa ndo mwake
hekima ukweni ndo mpango mzima
uchumi pande za akaunti ndnyo kama vile
usafi na goti la kingoni mwanzo mwishoooo
kukagua madaftari ya watoto halali wa majogoo yetu ndo kama kadawia
wanatukamatia wapi sasa
injili nachezza,taarabu naijua,song of lawino naifundisha,umbenglesha nairuka,marxist theorry na madarwin nayaaply !ahahahahhahahha ukiingia anga zangu lazima usubiri sana taa izimwe i see!mno!
I am glad l am not the only dumb here.
ahaahhahah af na ye ujiite mfugaji!hahaha, to start with jogoo hakuwa wake. kafungua mlango wa uani jogoo wa jirani kaingia
sasa jogoo giza limeingia karudi kwaoooo, anajisifia mjnja. yaani unifugie kuku wangu mchana ujigambe wewe mjanja. aahahahhhahahha! kweli mjini cha kushangaa sio mghorofa!
ni mambo tu ya dadas forever iwe mwenye dongo namjua au simjui hii kesi nimeinunua !something is 'vere much' boiling here.
Najaribu kuelewa sielewi, nahisi nimedandia treni kwa mbele.
baelezeee baelezeee!
aahahahhahha wantupatia wapi sasa!
ujuzi wa akili tunao na hayo madegree yanayowapa presha
ushangingi wa mujhini umejaa tele
sala na rozali hapa ndo mwake
hekima ukweni ndo mpango mzima
uchumi pande za akaunti ndnyo kama vile
usafi na goti la kingoni mwanzo mwishoooo
kukagua madaftari ya watoto halali wa majogoo yetu ndo kama kadawia
wanatukamatia wapi sasa
injili nachezza,taarabu naijua,song of lawino naifundisha,umbenglesha nairuka,marxist theorry na madarwin nayaaply !ahahahahhahahha ukiingia anga zangu lazima usubiri sana taa izimwe i see!mno!
something is 'vere much' boiling here.
Najaribu kuelewa sielewi, nahisi nimedandia treni kwa mbele.