mkono wa mtu!
nani aweke mkono wake kwenye looser kama hili!
yani kabisa ujiongzee dhambi tuu eti na wewe ulikuwa mshirikina kwa kuroga aliyesharogwa toka analia NG'aa ah! lawyer banaa watake radhi kna manyau nyau fasta!
atatuliaje nae kapewa lifti honi inamuwasha. hahaha wa mbili havai moja dada. kama umeandikiwa ukimada bhaaaaasss, ukipewa chnge acha kupiga makelele. si utulie basi kona yako?
mwalimu gfsonwin, asante kwa recap lmao
ha ha ha;, asilaze damu kukata kanyaboya?
huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.
anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.
Njoo umuone alivyotulia baada ya timbwili la jana. Nikupe namba yake akusimulie mwenyewe?
HAPO SASA!
cchezeya morning glory wewe!
atabaki kusubiri cha after lucnh hivo hivo full kuwahi kazini na njaa juu!ale saa nagpi sasa kama sio juice ya azam tena ili ajione kashiba anakwambia uagize GUAVA!ahahahahhahahahhahha nguvu ya omo mi napenda!
Umenisoma
Kwa hiyo vodate vyake unavijua?!... Maana hadi kufikia hatua ya kukikubali kidate cha mumeo ni kwamba kimekuzidi kwa vingi. If that is the case, kwa nini asihamie kabisa huko videtini?ahahahahahhaha mume wangu hawezi date takataka kama hii isee!
akifanya mastuzi hata mi mwenyewe huwa nakaa chini naseeema YEEEES!hapa best hata mimi natamani niweke dede!
af much worse kidisco vumbi hiv ahahahahahhah
llo!
ahahahahhahahhaa kitu kinapigwa nina biashara na wewe best!hahaha, wenzie tunabook toka mchana ' baba hiyo daladala ije imesimama kabisa ukifika tu home nipande!'
morning glory inanikosesh jumuiya mie manake nataka iwe brunch kabisaa hehehe chezeiya kiu ya stress. nyumba ndogo ndo inaposhondikana hapo kwenye soul break fasteee!
tena wewe kuku huria, kila jogoo wako! hahaha, unanchekesha.
proffessional small house. hebu tuambie akiwa kwa mkewe unakaribisha serengeti boy ama mume wa mtu mwingine?
Kwa hiyo vodate vyake unavijua?!... Maana hadi kufikia hatua ya kukikubali kidate cha mumeo ni kwamba kimekuzidi kwa vingi. If that is the case, kwa nini asihamie kabisa huko videtini?
atatuliaje nae kapewa lifti honi inamuwasha. hahaha wa mbili havai moja dada. kama umeandikiwa ukimada bhaaaaasss, ukipewa chnge acha kupiga makelele. si utulie basi kona yako?
mwalimu gfsonwin, asante kwa recap lmao
ahahahahhahahha aulize wenzie ndo atajua 1\!watu wakituona tunashika napkin kila siku wasifikiri jamvi hatujui matao yake msscxbsndfefnefuefnreifejfieemf zake!
ahaahahhahahhahahhaha anayajuaje haya!ayajulie wapi!Hahahahahahaha
Hivi kuna haja ya kupiga kelele kama mtu una uhakika jogoo atarudi muda wowote!
ahaahahhahahhahahhaha anayajuaje haya!ayajulie wapi!