mkono wa mtu!Hahahaha
sikuwa na nia huupende!
Kwani jogoo si kuku?
Kwani yule mwingine nae kakukimbia? Daaa pole sana hiyo ndio mitihani ya dunia lakini we umepata pigo natamani nikufanyie maombi bila shaka kuna mkono wa mtu!
ahahahhahahhah Azote huwa hatuangaiki na ndala kama hizi isee au umesahau principle zeetuu!
ahahahahhha spare my ribs bana!
ukinipa namchukua,utaliaje?Njoo umuone alivyotulia baada ya timbwili la jana. Nikupe namba yake akusimulie mwenyewe?
Au mwenye hicho kidigrii ni wewe? Kwanini pasitoshe?
huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.
anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.
ati kuku unae ndani. uache kutwanga vitunguu swaumu umkamulie na limao uhangaike na mmasai mlinda mbu. inahuuu? afu nimekumisi aisee.
mbona yeye hakuanzishii thread?haya bwana furahia kibamia
naona itabidi nitoe mwongozo wa kuwa nyumba ndogo.
Rule namba 1. heshimu nyumba kubwa hata kama ni kilaza.
Kinamuuma mwenyewe mi kiniume nini. Ye kataka digrii na wine. Na cheti cha ndoa na pete. Keshavipata. Kama kuna kinachomuuma kinamhusu sio mimi. Mimi nimekipata changu ninachokipata. Na pete navaa, ziko tele kwa masonara hela yako tu.
angekuwa anafurahia kibamia angetulia tuliii. raha ya kibamia asubuhi, unaamka unakiona kinavyopata uhai na kufikia full size. sasa small hausi hadi ubakishiwe mapovu saa ngapi utafurahia. mtu anakuja macho yako kwenye saa, anaparamia awahi kwake. hahahaha, leo ni leo.
nashanga!
yaaani kuuutwa nianze kuhangaika na msubiria konani!
aahhahahahhahah itakuwa ngumu sana i see!
mi nimekumisije sasa!nipo kuleee tulikokutana siku ile alfajiri ulipokuwa unatoka kumnunulia Paw mguu wa mbuzi!
chezeya mke mwenye madegree wewe!ahahahahha watalia sana na bado moja haiwi ikawa sita i see
da sophy upo? hahahaha. bado tu unadandia waume za wenzio hujapata wako pamoja na kutokuwa na digirii.
ila ulipotea, huyo mume wa mtu kakuzalisha baby wa pili? usimlazie damu shosti, mjini kuchangamka!
umeona enhdebe tupu haliishii kutika atii! ukipemdwa unaonyeshwa matendo
kulamo maisha mama mtoto, mie leo nimemnunulia Paw mkia anapata supu hapa aaah! mi namhonga na madigirii yangu ili change akampe Da Sophy
Hii vita ya nini tena, Duh
Mfano wako wa kuku sijaupenda bora ungesema jogoo.