Hivi kumbe ni kuku? Na yule anayekeshea wine mtaa wa kule ni kuku au mtetea? Msinchekeshe miye!
Mfano wako wa kuku sijaupenda bora ungesema jogoo.
Sophy huyo jamaa na wewe atakushinda tu,mfupa ulimshinda fisi wewe utauweza?kama alimcheat aliyefunga nae ndoa kanisani atakushindwa wewe?pozeo
kamata boksi la popcorn shemeji!
ahahahahahahhahhahah kuku na jogoo wote si wana vinyeo tu au!jogoo wako anayatolea mdomoni?
Njoo umuone alivyotulia baada ya timbwili la jana. Nikupe namba yake akusimulie mwenyewe?
mbona yeye hakuanzishii thread?haya bwana furahia kibamiaKinamuuma mwenyewe mi kiniume nini. Ye kataka digrii na wine. Na cheti cha ndoa na pete. Keshavipata. Kama kuna kinachomuuma kinamhusu sio mimi. Mimi nimekipata changu ninachokipata. Na pete navaa, ziko tele kwa masonara hela yako tu.
Hapo labda unazungumzia bata. Sina mpango na kiumbe dizaini hiyo.
Umenisoma
na ndiyo maana wengi ndoa zinawashinda. We jaribu kufuatilia utaona na ukute kwao wanajiweza, hapo ndo kabisaa, wanaolewa kutoa mkosi lakin muda mfupi wanaachia.Hapo ni digrii moja. Niambie zikiwa mbili inakuwaje.
Hapo ni digrii moja. Niambie zikiwa mbili inakuwaje.
Mfano wako wa kuku sijaupenda bora ungesema jogoo.
mbana unamfuatilia sana huyu mama?tulia na jamaa
huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.
anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.
Au mwenye hicho kidigrii ni wewe? Kwanini pasitoshe?mimi nataka namba yako manake hapa nahis padogo ujue!