hana hadhi ya nyumba kubwa, mdomo asiufungue,
hafai hata kwa kurumanga, kutoweza atia kinyaa,
hana sura wala umbo, kimo na elimu pia
aondoe shombo la pombo jamvini, akae ajifunze kujiswafi.
naondoka kufanya kazi nitarudi magharibi
ila huyu pimbi msuteni, makavu aambiwe,
msimwonee haya, manake hasitiriki
kazoea kuvaa moja, mbili kamwe haziwezi.
tamati nahitimisha, mkoloni kanibana
walakini kahaba huyu, kamwe asivumiliwe.
mtupieni vyake virago, aianze safari ya upweke.
maji haya ni mazito Da Sophy, huyawezi.
hahahahahhahah kifua anacho?
Aseeee.....zitawapalia sana degree za watu
lakini haitypi sababu ya kumuacha kifuku ku mchuzi atuletee hashuo la pweza kujifanya anaweza hapa!
Ujue Da Sophy kanichoma live?
Namalizia karisechi kangu niupdate ngumbaru afu yeye anaponda digrii, sijui nichanechane ili nipate wa kumchuna?
Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?hahaha, soma shosti. mume atahamia kwa kahaba kama Da Sophy na sarakadi zote ila digirii haitokuacha kamwe. mwenzioa nasoma post-doctoral digirii nna mchezo? nna masters ya chumbani, digirii ilikuwa ya jikoni na phd ofisi. nasomea digirii ya kuvhukua waume za watu saa hizi. maliza risechi hapo tuje kutesa na vingereza vyetu, zombi mwenyewe atabloo.
Eliza wa Tegeta, sijakusikia siku nyingi sana. Tumsubiri Marytina naye aibuke.Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?
watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:
We ka unatunzwa utakuwa unakielewa
Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?
watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:
Jamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.
Huna jipya wewe jamaa anakucheat ndo maana juzi umekuja unalialia hapa,tena ukamvua nguo na kumwambia ana KIBAMIA.nA BADO UTAISOMA MWAKA HUUJamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.
Jamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.
WEWE nawe ulishawai kuja kulalamika humu kuwa mmeo anaibiwa.leo wamtetea kimada haya banMbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?
watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:
Da Sophy bana sasa unakuja na ID nyingine ili iweje??Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?