hakya nani tena mbona huyu Da Sophy harudi??
mwanamke mwenyewe sura kama barabara ya moramu hata apake lukaria bado atakwaruza.
Nina popcorn na soda
Kwa raha zangu
Dah unamchambua kama karanga bin parachichi...............!:biggrin:
hicho kichwa chako kimejaa matope, huna lolote, mwizi wewe
kama kweli we mwanamke wa shoka kwa nini ukose mume wako?
wanawake wa shoka woooooote wameolewa mmebaki manungayembe tu
kazi kuvizia vizia waume za wenzenu na kuwavurugia ndoa zao
kuchambana kutamu aghalabu ukweli umesheheni
watu watiririka kama maporomoko ya udzungwa
screen kuitemea mate kisa zuzu alambaye vya watu
virago vyake mtupieni mbele kwa mbele akafilie
ananuka wala hanukii janaba sio pafyumu
ondoka zako ukakose pa kushika familia za watu kwanini kuziharibuu?
Mpana weye! Nami nasubiria kwa hamu. LOL
mie ninazo nyingi mwali manake ya mwisho niliipata ulipotangaza vita hapa
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/166708-vita-vya-panzi-furaha-ya-kunguru.html?highlight=
Am good buddy ila you've grown so fast juzi tu you were just a small boy but now you arleady a big broo.
chukua tano kaka,mwambie huyo malaya. Wanawake wa shoka wote tumeolewa twaenjoy na degree zetu kwa raha zetu baabu!!!!
km kupata degree ni kazi rahisi mbona yeye hana.Tena atutue na atukome,degree zetu ye zinamhusu nini.
Umenisoma
huyu wala hatukolezi maanake zake yeye kama kumsukuma mlevi vile.umeona eeh!!!!! Na kwa kuwa tunajidai na degree zetu ndo maana hatutumii nguvu nyingi kupambana na mpumbavu km huyu anaelalia mlango wazi bahati za wenzake.
sa niwaambie mtu ana digirii mbili za ulaya. Kaacha mume kaolewa na wine. Anazifakamiaje. Hadi huruma.
Haaaaaahaaaaahaaa is see they work fast eeeeeeehhhh!!!!!Naomba na mi nianze kuzila ili nikue fasta.Teh teh teh,chezea coke n pizza lol
umeona eeh!!!!! na kwa kuwa tunajidai na degree zetu ndo maana hatutumii nguvu nyingi kupambana na mpumbavu km huyu anaelalia mlango wazi bahati za wenzake.