Kuna shankupe lilikuwa linaiba mume wa mtu sasa mwenye mali kajua,mume katulia home, limekuja kupiga kelele humu,iba kimyakimya mwali wewe
umeogopa nini Kongosho??
labda niwatoe hofu wewe na Blaine mwanao, mie nimemwona huyu Da Sophy kama Anna demu aliyeitesaga ndoa yangu. kama hukumbuki nenda kasome uzi wa 'uvumilivu'
sasa just two weeks alilazwa sinza palestina yuko ngomad so nilimkuta yuko wasted sana na naskia amegoma kutumia mashudu. ndio nikamwambia huyu da sophy anajigamba hapa ila watu tuna jua mwsho wa watu wa type yake.
sasa naona mmenielewa.
Hahahaha! Nlichojifunza leo sitathubutu kuwabeza wamama wa JF wenye digrii zao. Wana mipasho kuliko Khadija Kopa lol
Mpaka watunzi wa taarab wameingia mitini.... Chezeya vitabu wewe?
Dirgii inakimbiza mume
Maana inaongeza uwezo wa kuhoji
Kwamba mpaka tunasoma tulikuwa hatutiani ama?mawazo mgandotena inapitiliza unakuta hadi kitandani kubadilisha style mtu anakuuliza "have you researched on this" sijui hii research inafanyikaje!?
tena inapitiliza unakuta hadi kitandani kubadilisha style mtu anakuuliza "have you researched on this" sijui hii research inafanyikaje!?
lane karibu jamvini mdogo wangu,
achana na huyu watu tunamvumilia sasa anataka kutupanda kichwani. ngoja kwanza arudi live alifikiri kusoma ndo tunashindwa ndoa. watu tupo humu degree tatu na bado ndoa ziko na 10+yrs. hubby akikutizama kama vile ndo mmetoka kufunga ndoa leo, japo nimezaa lkn kama kigori. hubby anatunzwa hadi anajiona mchanga kila siku.
wacha weweeeeeeeeeeeeeeee hebu niwekeeni ule wimbo wa dada yake mzee yusuph bana maneno semeni..
BAK tafuta huu wimbo bana mwekee huyu dasophy umburudishe manake anafikiri kapataaaaaaaaa kumbe kapatikana.
ahaahahhahahhhah umeona ehn!Hahahaha! Nlichojifunza leo sitathubutu kuwabeza wamama wa JF wenye digrii zao. Wana mipasho kuliko Khadija Kopa lol
Mpaka watunzi wa taarab wameingia mitini.... Chezeya vitabu wewe?
si bora hata hivyo viuno aviweze?
watu kama hawa kelele tu hawana lolote!
hahahahahah! wine nanywa kitu strawberry lips, G&T napata kazi nafanya na ndoa inapepea kila siku iko paradiso.
bahati nzuri ama mbaya ni degree za shule na za kitandani nina masters ya sexology, nina phd ya vibration na mafyonzo. nina BSC ya orgasmiology na g spotting unalo la ziada??
WEWE UKISEMA UNAYAJUA MAPENZI MIE NTAKWAMBIA NAJUA KUT.OMBANA.
bad news digrii hapa ndo imeharibu, kama isingekuwepo na hilo swali lisingekuwepo (at least kwa namna hiyo).Kwamba mpaka tunasoma tulikuwa hatutiani ama?mawazo mgando
ndo tatizo la digrii hilistyle nayo unarisechi nini? Kama ni tamu!?
nasita kuuliza what you did here. ntabaki kuwepo gizani kwenye hili. i can see you're very angry
Siku hizi tunapelekwa diamond jubilee na serena na kina dina marios kufundwa kisomi hahahahahahkiuno hasa cha mtoto wa kike anaayejijua yeye mwanamke kina stara! baaaabu weee!
aahahahhahha hawatujui vozuri hawa!kiuno cha degree tatu mushuka mchezo!