Did you know??????

Did you know??????

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Moja ya matatizo ya smartphones ni kutokukaa na charge. Ya kwangu nilikuwa na charge mara mbili kwa siku. Lkn sasa inaweza kukaa na charge kwa zaidi ya saa 24, na mara nyingine kwa saa 48!! Download and install ADVANCED MOBILE CARE, for free!
 
Thanks
 
post nzuri sema title haivutii kuiangali ndani nadhani ingekuwa poa kama ungesema `improve your android battery performance `
ni mawzo tu.
 
Back
Top Bottom