Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,579
Nyerere admitted he was a "failure" not only mistakes. FAILED.
Who are you to guarantee it? And you challenge me to go find it? Poor you, here it is, haya ichakachuwe kama unaweza:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."He never admitted to failure; the idea that he did is a pure conjugation of the people who hoped that he in fact did. Hajawahi kusema ameshindwa. I can challenge you to find it anywhere and you won't. I guarantee it.
Who are you to guarantee it? And you challenge me to go find it? Poor you, here it is, haya ichakachuwe kama unaweza:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."
Bibie,Nyerere admitted he was a "failure" not only mistakes. FAILED.
Bibie,
Nionyeshe ni wapi Nyerere alisema alikuwa failure. Ni ninyi tu mafisadi wa kisasa ambao hamna hata ruuya mnataka kutuaminisha kuwa Nyerere aliwahi kusema hivyo. Wapi? Nipe quote kama alivyofanya Mwanakjj.
Umeshushuka shuu! Siku zingine msijidai ku "challenge" just kwa ubishi tu. Unanini babuwee? Unachekeshaa.yeah right!
Hujaona post niliyomjibu Mkjj? Basi hii hapa na wewe itakusaidia:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."Bibie,Nionyeshe ni wapi Nyerere alisema alikuwa failure. Ni ninyi tu mafisadi wa kisasa ambao hamna hata ruuya mnataka kutuaminisha kuwa Nyerere aliwahi kusema hivyo. Wapi? Nipe quote kama alivyofanya Mwanakjj.
Tuletee hiyo quote ya failure ukate mzizi wa fitna. Hakuna cha kushushuka hapa.Umeshushuka shuu! Siku zingine msijidai ku "challenge" just kwa ubishi tu. Unanini babuwee? Unachekeshaa.
Tuwekee hapa context au walau paragraph tu kuonyesha alikuwa anazungumzia alifeli wapi. Siyo maneno mawili tu " I failed. Let's admit it."Hujaona post niliyomjibu Mkjj? Basi hii hapa na wewe itakusaidia:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."
Juu huko umekubali kwa kusema "yeah right" hapa unajidai "it ain't gonna happen", ikatea basi si hii hapa, sema kuwa hajasema nyerere maneno haya:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."It ain't gonna happen.
We want the whole goddamn speech.Juu huko umekubali kwa kusema "yeah right" hapa unajidai "it ain't gonna happen", ikatea basi si hii hapa, sema kuwa hajasema nyerere maneno haya:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."
Wewe kama huyapendi hayo weka wewe hiyo "context" ili uoneshe mimi nnavo mislead watu. Khaa, unanini babuwee? Kushindwa akubali mwenyewe halafu wewe utetee. Thummum Bukmun.Tuwekee hapa context au walau paragraph tu kuonyesha alikuwa anazungumzia alifeli wapi. Siyo maneno mawili tu " I failed. Let's admit it."
Bibie,Wewe kama huyapendi hayo weka wewe hiyo "context" ili uoneshe mimi nnavo mislead watu. Khaa, unanini babuwee? Kushindwa akubali mwenyewe halafu wewe utetee. Thummum Bukmun.
Weka hotuba yote usituwekee sentensi moja tu, tutakuaminije?Hujaona post niliyomjibu Mkjj? Basi hii hapa na wewe itakusaidia:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."
Kama wewe hujasikia ndio hujasikia, itafute utaipata. Kwani wewe Mungu hata uyajuwe yote?Bibie,Mimi hiyo spichi ya 1985 sijawahi kuisikia. Sijawahi kumsikia Nyerere akisema he was a failure. Wewe unashikilia kuwa alisema hivyo na kutuwekea hapa "quotes". Sasa nakuomba kitu kimoja tu, tukate mzizi wa fitna. Iweke hiyo spichi hapa. Au tuambie imechapishwa kitabu gani tukabukue wenyewe. Ukishaiweka hapa tutaisoma na ama kukubaliana na wewe au kuendelea kukuita mzushi wa kifisadi.
Amini ukipendacho. Kuna ka site kanaitwa google, jifunze kukatumia.Weka hotuba yote usituwekee sentensi moja tu, tutakuaminije?
Kama huwezi kuiweka hapa, na huwezi kutuambia inapatikana wapi, tukubaliane kwamba hiyo spichi haipo. Tukubaliane kwamba wewe ni mzushi kwa lengo la kutetea uozo wa serikali ya fisadi.Kama wewe hujasikia ndio hujasikia, itafute utaipata. Kwani wewe Mungu hata uyajuwe yote?
Kama wewe hujasikia ndio hujasikia, itafute utaipata. Kwani wewe Mungu hata uyajuwe yote?
Amini ukipendacho. Kuna ka site kanaitwa google, jifunze kukatumia.
Wewe ndio kwanza ukatae kuwa haya sio maneno ya nyerere:Nyerere farewell speech in 1985: "I failed. Let's admit it."Kama huwezi kuiweka hapa, na huwezi kutuambia inapatikana wapi, tukubaliane kwamba hiyo spichi haipo. Tukubaliane kwamba wewe ni mzushi kwa lengo la kutetea uozo wa serikali ya fisadi.