Did Mwalimu die a natural death?

nguzu za giza hizo au...............................usalama wa taifa hauko makini.....................alikufa kama watu wengine bana weka evidence tuwashitaki waliomwua kin amakongoro wale mabilion kama ya dowans,,,,,,,,,,,,,,,napita,
 
siku hizi wengi wanakufa kifo kama chake tena wengi sana mpaka tumeshaanza kuzoea! tofauti yeye alifia st thomas!
 
Asalaam Aleykum wana JF.....I am very new in this forum but why avoiding to respond to this questions? Mwalimu didn't die a natural death, he was a stone in someone's shoes.....ona mambo tunayoyafahamu na mengine mengi tusiyoyafahamu ya kuchakachua nchi yalivyojitokeza na kushughulikiwa kisanii eti leo mnailipa Dowans kwa mkataba ambao haukuwapo kisheria duuuu!!!!!! pia angalia mission ya south south commission ambayo ilikuwa inajipanga kutoa ukombozi wa kweli wa kiuchumi kwa vinchi vyetu (baada ya mwalimu kufariki haisikiki tena) ndiyo utafahamu kwa nini nadhani kuna mkono wa mtu:Cry:
 
I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!

Mkuu,

Mwalimu alikuwa tayari ameshastaafu, alikuwa anakula pensheni yake na kuwasumbua ambao walikuwa wameshika usukani... Mara awaite "wahuni", "wasipanajisi pahali patakatifu", alikuwa anawakaripia watu kama watoto wadogo..kwa vyovyote alianza kuwa kero kwa waliotaka kuvuna shamba la bibi.
Sasa kama alikufa au alitengenezewa ajali ,sidhani kama ni la muhimu sana. yeye mwalimu aliwapoteza wangapi wakati wote wa utawala wake?
Tumuache apumzike huko aliko. Pale alituachia basi tujitahidi kuyaendeleza mazuri yake na twende mbele kwa mbele. wafu hawatatusaidia tena katika haya yanayotukabili kwa sasa.
 
hodi hodi wanajamii. ni mchango wangu wa kwanza kwetu. ni swali zuri ulizwa hapo juu. naungananae kutoa yangu mashaka juu ya aina na namna mwalimu alivyofikwa na umauti. japo kifo ni kifo lakini namna ya kukifikia ndio huzungumzwa na ikibidi kuchunguzwa. binafsi siamini kama mwalimu alikufa kifo cha Mungu. nina mashaka kama si kweli hakukuwa na mkono wa mtu kukileta kifo hicho. naamini iko siku ukweli utabainika, tena sio mbali kutokea sasa
 
Karibu sana Imran Shimbo hapa jukwaani. Ukishatulia na kufahamiana na wenyeji tutajadilia mada yako.

Dogo unataka "kutoka" na thread hii ambayo maswali yake yangeulizwa eleven years ago! Au ulikuwa mdogo sana wakati huo, au pengine ulikuwa hujazaliwa?
 
hiyo kitu iliniumiza sana kichwa wakati huo.mwl alipoondoka alikua mzima anatembea ,alipoanza matibabu mara kingia kwenye koma,mpaka alivyofariki.mbali na hapo wakati nanaondooka lisema jamaa walimconvince akacheck afya.sasa ndo akapotelea huko huko.
 
jamani, mi mpaka leo siamini, na nashindwa kabisa kuamini ati mwalimu died a natural death, nop. Kuna wanaodhani hii nchi ni yao kuliko wengine, ndo walio fanya jitihada ya kufanya mwalimu asiwepo nadhani, no way, angekuwepo, nchi isingekuwa hihvi ilivyo sasa.
 
what i remember,is nilikuwa south africa wakati mwalimu anakufa, na is truth, nilishuhudia pat ya watu kujipongeza mahala kwa kugongeana glas mbaya, nilishangaa sana baadaye ndiyo nikajagutuka ohooooooooo,mmojawapa ni yule jamaa anayesimamia shughuli za uchimbaji wa tanzanite ya wasouthafrika kule arusha

Bila kujali mleta hoja aliingia lini, naomba niwakumbushe habari moja iliyoandikwa ktk ukurusa wa mbele wa gazeti la Rai linalomilikiwa na fisadi rostam soon miaka ya 2006 mwanzoni hivi. Gazeti lilimlaumu waziri wa afya wa kati huo- Dr mwakyusa (mwl's personal doctor) kwa kusimamia wizara vibaya. Kulikuwa na mashindano ya nani apewe tenda kubwa ya kusambaza madawa na vipimo vya ukimwi nchi nzima. Vita hivi viliendelea kwa muda mrefu kiasi likiongozwa na magazeti ya rostam kwamba wizara inagawa tenda kwa upendeleo. Shutuma kwa katibu mkuu na waziri. Lakini cha kushangaza baada ya wiki kadhaa gazeti lilikuja na maelezo ya juu juu kuwa waziri mwenyewe kwanza analaumiwa kwa kifo cha Mwl Nyerere kwani yeye aliamua vibaya na mwalimu akafa. Mimi si daktari. Ila watu wakubwa like marais wanakuwa na madaktari watano wakiwa hospitalini hoi. Kama kuna uamuzi wenye option mbili na wao wakigawanyika kimtazamo huwa wanapiga kura. Gazeti linasema dakika za mwisho hawajamaa madaktari waligawanyika kuhusu dawa ya kumpa. Kura zikapigwa. Madaktari 3 akiwepo mwakyusa wakapiga kura upande mojawapo agaist wawili. Ushauri wa hao watatu ukamfanya mwl afe. MJADALA HUU UMENIKUMBUSHA HABARI HIYO ILIYONISUMBUA SANA. Thx
 
Jamani msikatae hoja yake tumsikilize kwanza. Binafsi naomba atuambie Kama haikuwa natural death kitu gani kilimuondoa?
 
Mambo ya kifo muungwana huwa yana sababu halafu hakuna ambaye anaweza kusifia mtu huyu amekufa kifo kizuri kiwe cha asili au vingenevyo.... kwangu mimi mwalimu hajafa maana ninajitahidi kungalia yale mazuri aliyotenda kwa kiwango chake cha ubinadamu nikiacha ubaya lakini pia nini mantiki ya kila mada inayotolewa? sawa waungwana labda watakupa jibu lile au hili je, litakujenga au kukubomoa?... umuhimu wa mwalimu ni kufundisha vizuri na atakapokufa au kuhamishwa huwa tuna simanzi wa yale tutakayokosa kutoka kwake na sio kwanini amekufa au amehama na wakati anahama alipewa usafiri gani sawa je kama ugepewa jukumu la kumpa usafiri kwa kuwa wewe ni mwanafunzi je ungemudu?.... tukusaidie.
 
HUKUTAKA AFE, hebu tukujadiri wewe: will you die a natural death?
 
Guys real? the poor guy ask question n we were surpose to answer it in inteligenty way not like some politician....come onw we know death is a death but a death of any legent has to be asked if it was natural or not...whats wrong with that question?its inteligenty forum be smart people n think like one...n as inteligent person u should ask urself alot of questions includin that one

n oooh yeah abt salam inteligent people dont give a damn abt that bc their too smart for that
 
Asalaam Aleykum wana JF.....I am very new in this forum but why avoiding to respond to this questions? Mwalimu didn't die a natural death, he was a stone in someone's shoes.....ona mambo tunayoyafahamu na mengine mengi tusiyoyafahamu ya kuchakachua nchi yalivyojitokeza na kushughulikiwa kisanii eti leo mnailipa Dowans kwa mkataba ambao haukuwapo kisheria duuuu!!!!!! pia angalia mission ya south south commission ambayo ilikuwa inajipanga kutoa ukombozi wa kweli wa kiuchumi kwa vinchi vyetu (baada ya mwalimu kufariki haisikiki tena) ndiyo utafahamu kwa nini nadhani kuna mkono wa mtu:Cry:

Hapo kwenye RED, unauhakika na unachokinena?, acha CRAP. mkataba upo ndo maana imeamriwa na mahakama ya ICC mulipe gharama za ku-terminate mkataba.
 
Shimbo! You're right on the question. The JF community should check on that coz few days before he 'kicked the bucket', one of the big figure visited him and we were told that, he was gaining strength. But, two days later he was no more! At the time, we heard his personal doc. had crucial info. he didn't revealed so far. And see this, 'Public properties squandering started immediately after his death'. Whoever had more info, should say it openly.....
 
Back
Top Bottom