DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Messages
5,576
Likes
1,370
Points
280
Kiby

Kiby

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2009
5,576 1,370 280
Habari za asbuhi wana jukwaa, niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema je Giants/Majitu makubwa yanayoelezwa kufika hadi futi 45 waliwahi kuishi hapa duniani?? na kama waliwahi kuishi walitoweka wapi?? Na kwanini siku hizi hawazaliwi tena??

Hadithi za uwepo wa hawa watu zipo karibu katika kila kabila na jamii hapa duniani kwa mfano wahispania wana historia ya Giant (basajaun) ubelgiji alikuwepo antigoon, indonesia (Buto), waebrania (Goliath), Irimu wa wakikuyu na Yalmavuz wa uturuki nikitaja kwa uchache.

Hata vitabu vya kidini na kihistoria zimewaongelea hawa watu embu tuone mifano kidogo

WANEFILI
Mwanzao 6:4
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa

Kwa tafsiri ya kiingereza

Genesis 6:4
4There were giants in the earth in those days; and also after that, when the sons of God came in unto the daughters of men, and they bare children to them, the same became mighty men which were of old, men of renown.

Inaelezwa watu hawa walikuwa ni majitu makubwa yenye nguvu yanaongelewa pia kwenye vitabu vya kihistoria kma Book of giants tunaona watoto wa Semyaza kina ohyah na hahyah walikuwa ni majitu makubwa sana yanazidi futi 100!!!..... Pia kitabu cha Enoko (book of watchers) anaongelea watu hawa ambao walikuwa ni wakubwa sana na walikuwa wakitesa wanadamu maana walidai vyakula kuliko viwango vyao vya uzalishaji na wakaanza hadi kuwala wanadamu wenyewe.... So dunia ilijaa vurugu tupu kipindi cha kabla ya gharika sababu ya hawa WANEFILI

2. WANA WA ANAKI (ANNUNAKI)
Kwenye vitabu vya dini hawa pia wanaongelewa kama WANEFILI ambao ni majitu marefu yenye nguvu sana

Hesabu 13:33
32 Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala watu wanaoikaa; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu warefu mno.
33 Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.

Walisema haya baada ya waisraeli kutuma wapelelezi kwenda kukagua nchi ya kanaan iliyokaliwa na wana wa Canaan mtoto wa Ham wakiwemo Waamori,waamaleki,wayebusi,wahiti,Hivitites,Gilgashites n.k ambao kwenye biblia wanaelezwa kma majitu makubwa na marefu yaliyoishi Canaan kipindi waisraeli wanataka kurudi kwenye nchi yao ya ahadi

Amos 2:9
9 Lakini nalimwangamiza Mwamori mbele yao, ambaye urefu wake ulikuwa kama urefu wa mierezi, tena alikuwa na nguvu kama mialoni; lakini naliyaangamiza matunda yake toka juu, na mizizi yake toka chini

NB:Mierezi ni miti mirefu sana sasa iliopatikana huko lebanon

QURAN TAKATIFU
Mfano ambao upo ndani ya Quran ni Mfalme Og wa Bashan au kwa kiarabu alifahamika kma Uj ibn Anaq huyu alikuwa mfalme wa kale ambaye alikuwa ni mrefu sana na ana mwili mkubwa tunaambiwa alikuwa na futi 13 na alikuwa na nguvu sana,pia kwenye Quran anatajwa Jitu linaitwa Jalut ambalo nalo linaelezwa alikuwa mtu mkubwa mwenye maguvu sana kuliko umbo la kawaida la mwanadamu.

GILGAMESH
Huyu ametajwa na Enocko kwenye book of giants kwamba alikuwa ni JITU kubwa sana lenye manguvu kiasi kwamba lilitangaza vita na Mbingu..... Inadaiwa alitawala ufalme wa sumeria (Uruk) enzi za kale na alitawala kwa miaka 126... Ana stori ndefu kidogo itabidi afunguliwe uzi siku moja (Epic of gilgamesh) ila kwa leo nimemtaja tu kma mmoja ya GIANTS

USHAHIDI WA KISAYANSI
Hii ni baadhi ya mifano tu ili twende pamoja... Na baadhi ya tafiti zimefanyika wamepata ushahidi wa miji walioishi hawa wanefili ambayo majengo yao tofali moja tu haliwezi bebwa na kifaa chochote cha sasa hivyo wameconclude ulijengwa na MAJITU haya ndio pekee yana uwezo wa kubeba tofali kma zile miji hii mfano ya maeneo hayo ni magharibi wa mto yordani, Pia Hebron, mesopotamia na maeneo ya mashariki ya kati. Kwa maeneo zaidi angalia kiambatanisho cha video hapo chini kuhusu majengo hayo afu uniambie kma mwanadamu wa kawaida angeweza kujenga kulingana na technologia ya kipindi kile!

Pia ushahidi mwingine ulipatikana na mtafiti Georges Vacher de Lapouge na mifupa akiita Giant of castelnau... Mifupa hiyo kwa picha inaonekana ni ya kibidanadam ila ni mikubwa kuliko ya mwanadamu wa kawaida maana estimation ilifika futi 12 hivi ya urefu kwa kutumia mifupa hiyo ya miguu

WALIISHIA WAPI HAWA MAJITU??
1.Kwenye vitabu vya kihistoria na dini wanadai kwamba wanefili walikufa kwenye gharika la Nuhu ila cha kujiuliza kma kweli walikufa kwenye gharika walirudije baadae mfano hao waamori au wayebusi walikuwa ni wanefili (wajuzi mtusaidie hapa)

2. Kuendana na kitabu cha Joshua tunasoma kwamba alidhamiria awaangamize wote ili waweze kuiteka Canaan na kuiweka mikononi mwao..... Ila tunaona HAKUUA wote sababu wengine walikimbia hivyo waliachwa wakaishi miji ya kusini (Gaza ya sasa)

Maswali ya kujiuliza

Je asili yao ni nini mpaka wakawa wakubwa hivyo??

Je uzao wao uliishia wapi??

Je watu hao walikuwepo kweli??

Je kwanini siku hizi hawazaliwi tena??

Ahsanteni kwa kusoma,karibuni kwa michango View attachment 748594 View attachment 748595 View attachment 748596 View attachment 748597

CC wanajukwaa wote bila kuwasahau
Malcom Lumumba, hearly Da'Vinci ,Te Lavista,Kiranga Elungata ,nyabhingi ,Mchawi Mkuu,Eiyer ,Mshana Jr n.k
Mkuu heshima yako.
Hii mada ya manafeli na asili yao nimejaribu kuwaza na kuwazua nilichogundua ni kwamba watu tunashindwa kuipa point moja katika maandiko uzito unao stahili. Point hiyo ni hii hapa;
.
Mwanzo 3
14 Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;
.
Hii hapa ni laana ya Mungu kwa nyoka baada ya kumdanganya Eva. Laana hii inambadilisha maumbile yake ya asili. Nyoka hakuwa na umbile hili alilo nalo sasa alikuwa ni kiumbe wa umbile la kitanashati (smart) kwa lugha ya sasa.
Sasa watu wanajichanganya kwa kufikiri shetani alimwingilia Eva kingono. Hapana! Shetani ni roho na roho haiwezi kuwa na uzao wa mwili wa damu na nyama kwa mwanadamu. Kilichofanyika ni shetani (roho), kumtumia mnyama nyoka kumwingilia Eva na hivyo kujipatia uzao kwake yaani kaini. Hivyo basi kaini alikuwa ni NAFELI na watoto wake ni manafeli.
Wana wa Mungu yaani malaika watu sii malaika roho, walijitwalia wake kutoka kwa manafeli na matokeo ya muungano huu yalileta kizazi cha MAJITU.
Majitu sio manafeli bali ni chotara la manafeli kwa wana wa Adam- Seth.
Majitu yalipoangamizwa kipindi cha gharika ya Nuhu, tunashangaa ni kwa nini tena yanakuja kupatikana ng'ambo ya pili baada ya ghariki.
Ukiyachunguza maandako vizuri utagundua kwamba wana wa Nuhu kama sii wote watatu waliingia safinani na wake waliotokana na jamii ya mijitu. Hivyo kukawa na uwezekano wa germ cell za majitu kuendelea kuwepo.
Huu ndio ufahamu wangu kwa uchache kuhusu asili ya Nafeli then Gitu.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,114
Likes
10,750
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,114 10,750 280

Mkuu umefafanua vizuri sana kwa kweli!! Hii ndio reasoning ya vintage JF, ubarikiwe sana
 
R

Roy kimei

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
428
Likes
268
Points
80
R

Roy kimei

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2017
428 268 80
Nilibahatika kutembelea Familia ya chief Senge,pale singida mjini. Nilivutiwa na vitu viwili. Kwanza nyumba aliyokua akiishi chief senge, pili nilikutana na mjukuu wake mmoja Giant kwelikweli. Can image mimi urefu wangu nakaribia 6' ila yule bwana kimo amakaribia 7' hivi.
 
GODLIVER CHARLE

GODLIVER CHARLE

Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
87
Likes
3
Points
15
GODLIVER CHARLE

GODLIVER CHARLE

Member
Joined Mar 2, 2011
87 3 15
Mangi Horombo kweli alikuwa mrefu Sana lakini haimaanishi kwamba alikuwa mnefili. Maana angekuwa mnefili maana yake Ni kwamba hata katika kizazi chake wangekuweko wanefili. Ikiwa Ni pamoja na sisi tuliochimbukia kwake.
 
Silvester Kapala

Silvester Kapala

Senior Member
Joined
Aug 26, 2017
Messages
140
Likes
63
Points
45
Silvester Kapala

Silvester Kapala

Senior Member
Joined Aug 26, 2017
140 63 45
Upo mwaka askari wa marekani,walikutana na GIANT mapangoni Afghanistan na walimua wakasarlfirisha mwili marekani,niliiona video yake,tena ni miaka ya hivi karibuni
Ilkuwa mwaka 2002 boss alkuwa na na urefu wa fut12 nakmbuka ktu Kama hcho na chanzo Cha kuua aliua kwa sababu aliua mwanajesh mmoja wa kimarekan ikabd team itumwe maalum nakunbuka hayo tu
 
JESUIT MASTER

JESUIT MASTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Messages
403
Likes
70
Points
45
JESUIT MASTER

JESUIT MASTER

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2018
403 70 45
Habari za asbuhi wana jukwaa, niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema je Giants/Majitu makubwa yanayoelezwa kufika hadi futi 45 waliwahi kuishi hapa duniani?? na kama waliwahi kuishi walitoweka wapi?? Na kwanini siku hizi hawazaliwi tena??

Hadithi za uwepo wa hawa watu zipo karibu katika kila kabila na jamii hapa duniani kwa mfano wahispania wana historia ya Giant (basajaun) ubelgiji alikuwepo antigoon, indonesia (Buto), waebrania (Goliath), Irimu wa wakikuyu na Yalmavuz wa uturuki nikitaja kwa uchache.

Hata vitabu vya kidini na kihistoria zimewaongelea hawa watu embu tuone mifano kidogo

WANEFILI
Mwanzao 6:4
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa

Kwa tafsiri ya kiingereza

Genesis 6:4
4There were giants in the earth in those days; and also after that, when the sons of God came in unto the daughters of men, and they bare children to them, the same became mighty men which were of old, men of renown.

Inaelezwa watu hawa walikuwa ni majitu makubwa yenye nguvu yanaongelewa pia kwenye vitabu vya kihistoria kma Book of giants tunaona watoto wa Semyaza kina ohyah na hahyah walikuwa ni majitu makubwa sana yanazidi futi 100!!!..... Pia kitabu cha Enoko (book of watchers) anaongelea watu hawa ambao walikuwa ni wakubwa sana na walikuwa wakitesa wanadamu maana walidai vyakula kuliko viwango vyao vya uzalishaji na wakaanza hadi kuwala wanadamu wenyewe.... So dunia ilijaa vurugu tupu kipindi cha kabla ya gharika sababu ya hawa WANEFILI

2. WANA WA ANAKI (ANNUNAKI)
Kwenye vitabu vya dini hawa pia wanaongelewa kama WANEFILI ambao ni majitu marefu yenye nguvu sana

Hesabu 13:33
32 Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala watu wanaoikaa; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu warefu mno.
33 Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.

Walisema haya baada ya waisraeli kutuma wapelelezi kwenda kukagua nchi ya kanaan iliyokaliwa na wana wa Canaan mtoto wa Ham wakiwemo Waamori,waamaleki,wayebusi,wahiti,Hivitites,Gilgashites n.k ambao kwenye biblia wanaelezwa kma majitu makubwa na marefu yaliyoishi Canaan kipindi waisraeli wanataka kurudi kwenye nchi yao ya ahadi

Amos 2:9
9 Lakini nalimwangamiza Mwamori mbele yao, ambaye urefu wake ulikuwa kama urefu wa mierezi, tena alikuwa na nguvu kama mialoni; lakini naliyaangamiza matunda yake toka juu, na mizizi yake toka chini

NB:Mierezi ni miti mirefu sana sasa iliopatikana huko lebanon

QURAN TAKATIFU
Mfano ambao upo ndani ya Quran ni Mfalme Og wa Bashan au kwa kiarabu alifahamika kma Uj ibn Anaq huyu alikuwa mfalme wa kale ambaye alikuwa ni mrefu sana na ana mwili mkubwa tunaambiwa alikuwa na futi 13 na alikuwa na nguvu sana,pia kwenye Quran anatajwa Jitu linaitwa Jalut ambalo nalo linaelezwa alikuwa mtu mkubwa mwenye maguvu sana kuliko umbo la kawaida la mwanadamu.

GILGAMESH
Huyu ametajwa na Enocko kwenye book of giants kwamba alikuwa ni JITU kubwa sana lenye manguvu kiasi kwamba lilitangaza vita na Mbingu..... Inadaiwa alitawala ufalme wa sumeria (Uruk) enzi za kale na alitawala kwa miaka 126... Ana stori ndefu kidogo itabidi afunguliwe uzi siku moja (Epic of gilgamesh) ila kwa leo nimemtaja tu kma mmoja ya GIANTS

USHAHIDI WA KISAYANSI
Hii ni baadhi ya mifano tu ili twende pamoja... Na baadhi ya tafiti zimefanyika wamepata ushahidi wa miji walioishi hawa wanefili ambayo majengo yao tofali moja tu haliwezi bebwa na kifaa chochote cha sasa hivyo wameconclude ulijengwa na MAJITU haya ndio pekee yana uwezo wa kubeba tofali kma zile miji hii mfano ya maeneo hayo ni magharibi wa mto yordani, Pia Hebron, mesopotamia na maeneo ya mashariki ya kati. Kwa maeneo zaidi angalia kiambatanisho cha video hapo chini kuhusu majengo hayo afu uniambie kma mwanadamu wa kawaida angeweza kujenga kulingana na technologia ya kipindi kile!

Pia ushahidi mwingine ulipatikana na mtafiti Georges Vacher de Lapouge na mifupa akiita Giant of castelnau... Mifupa hiyo kwa picha inaonekana ni ya kibidanadam ila ni mikubwa kuliko ya mwanadamu wa kawaida maana estimation ilifika futi 12 hivi ya urefu kwa kutumia mifupa hiyo ya miguu

WALIISHIA WAPI HAWA MAJITU??
1.Kwenye vitabu vya kihistoria na dini wanadai kwamba wanefili walikufa kwenye gharika la Nuhu ila cha kujiuliza kma kweli walikufa kwenye gharika walirudije baadae mfano hao waamori au wayebusi walikuwa ni wanefili (wajuzi mtusaidie hapa)

2. Kuendana na kitabu cha Joshua tunasoma kwamba alidhamiria awaangamize wote ili waweze kuiteka Canaan na kuiweka mikononi mwao..... Ila tunaona HAKUUA wote sababu wengine walikimbia hivyo waliachwa wakaishi miji ya kusini (Gaza ya sasa)

Maswali ya kujiuliza

Je asili yao ni nini mpaka wakawa wakubwa hivyo??

Je uzao wao uliishia wapi??

Je watu hao walikuwepo kweli??

Je kwanini siku hizi hawazaliwi tena??

Ahsanteni kwa kusoma,karibuni kwa michango View attachment 748594 View attachment 748595 View attachment 748596 View attachment 748597

CC wanajukwaa wote bila kuwasahau
Malcom Lumumba, hearly Da'Vinci ,Te Lavista,Kiranga Elungata ,nyabhingi ,Mchawi Mkuu,Eiyer ,Mshana Jr n.k
siri hipo hpa Gusa hapa uone linavyomiliki dunia Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Witted Jc

Witted Jc

Member
Joined
Dec 28, 2018
Messages
17
Likes
18
Points
5
Witted Jc

Witted Jc

Member
Joined Dec 28, 2018
17 18 5

Wanefili walikuwa majitu yenye ukatili na yenye nguvu zinazopita za wanadamu. Walizaliwa na malaika waovu waliokuja duniani na kujichukulia wanawake katika siku za Noa. *

Biblia inasema kwamba “wana wa Mungu wa kweli wakaanza kuona kwamba mabinti wa wanadamu ni warembo.” (Mwanzo 6:2) Hao ‘wana wa Mungu’ walikuwa viumbe wa kiroho waliomwasi Mungu ‘walipoacha makao yao yanayowafaa’ mbinguni, wakajivika miili ya kibinadamu, na “wakaanza kuwachukua wote waliowachagua ili wawe wake zao.”—Yuda 6; Mwanzo 6:2.

Watoto waliozaliwa kupitia njia hiyo isiyo ya asili hawakuwa wa kawaida. (Mwanzo 6:4) Wanefili walikuwa majitu na waliowaonea watu, waliwakandamiza, na kuijaza dunia ukatili. (Mwanzo 6:13) Biblia inasema walikuwa “watu wenye nguvu wa nyakati za kale, wanaume maarufu.” (Mwanzo 6:4) Kutoka kwao dunia iliendelea kujaa ukatili na woga.—Mwanzo 6:5; Hesabu 13:33. *
 
Maoni yasiyo sahihi kuhusu Wanefili
Maoni yasiyo sahihi: Bado Wanefili wako hai duniani leo.
Ukweli: Mungu alileta gharika ya maji iliyoangamiza ulimwengu huo wa kale wenye ukatili. Wanefili walifagiliwa mbali pamoja na watu wengine wote waovu. Tofauti na hilo, Noa na familia yakewalipata kibali cha Mungu nao tu ndio waliokoka gharika hiyo.—Mwanzo 6:9; 7:12, 13, 23; 2 Petro 2:5.
 
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Messages
10,114
Likes
10,750
Points
280
zitto junior

zitto junior

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2013
10,114 10,750 280
Maoni yasiyo sahihi kuhusu Wanefili
Maoni yasiyo sahihi: Bado Wanefili wako hai duniani leo.
Ukweli: Mungu alileta gharika ya maji iliyoangamiza ulimwengu huo wa kale wenye ukatili. Wanefili walifagiliwa mbali pamoja na watu wengine wote waovu. Tofauti na hilo, Noa na familia yakewalipata kibali cha Mungu nao tu ndio waliokoka gharika hiyo.—Mwanzo 6:9; 7:12, 13, 23; 2 Petro 2:5.
Mkuu labda niulize kama wanefili waliishia kwenye gharika je hawa wanefili ambao waisrael waliwaona wakielekea Canaan walitoka wapi?? Na kama walirudi ina maana gharika hawakufa wote??

Kutoka 13:33
33 Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.
 
Witted Jc

Witted Jc

Member
Joined
Dec 28, 2018
Messages
17
Likes
18
Points
5
Witted Jc

Witted Jc

Member
Joined Dec 28, 2018
17 18 5
Mkuu labda niulize kama wanefili waliishia kwenye gharika je hawa wanefili ambao waisrael waliwaona wakielekea Canaan walitoka wapi?? Na kama walirudi ina maana gharika hawakufa wote??

Kutoka 13:33
33 Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.
kulikuwa na Wanefili baada ya mafuriko? Mwanzo 6:4 inatuambia, "Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena, baad ya hayo wan wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa." Inaonekana kwamba mapepo walirudia tendo la dhambi wakati mwingine baada ya mafuriko. Hata hivyo, ilifanyika kwa kiasi kidogo kuliko ilivyokuwa kabla ya mafuriko. Wakati wana wa Israeli walipeleleza nchi ya Kanaani wao walimpasa Musa taarifa: "Kisha huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona"(Hesabu 13:33). Basi, kifungu hiki hakisemi hasa kwamba Wanefili walikuwapo, ila wapelelezi waliwaza kuwa waliona Wanefili. Kuna uwezekano zaidi kuwa wapelelezi walishuhudia watu wakubwa sana katika Kanaani na kimakosa wakaamini kuwa wao ni Wanefili. Au, inawezekana kwamba baada ya mafuriko mapepo tena walijumbiana na wanawake binadamu, na kuzalisha zaidi Wanefili. Kwa hali yoyote ile, hawa "majitu" waliharibiwa na wana wa Israeli wakati wa uvamizi wao kwa Kanaani (Yoshua 11:21-22) na baadaye katika historia yao (Kumbukumbu 3:11; 1 Samweli 17).

Ni nini inazuia mapepo kutoka kuzalisha Wanefili Zaidi hii leo? Inaonekana kwamba Mungu alikomesha mapepo kuchumbiana na binadamu kwa kuweka mapepo yote waliofanya kitendo kama hicho katika lindi kuu. Yuda mstari wa 6 inatuambia, "Na, malaika walioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu." Ni wazi, si mapepo yamewekwa katika "gerezani" hii leo, hivyo lazima kuna kundi la mapepo wamekuwa wakifanya dhambi chungu zaidi ile ya awali ya kuanguka. Takribani, mapepo ambayo yalichumbina na wanawake binadamu ni wale ambao "wamefungwa minyororo ya milele." Hii itazuia mapepo yoyote zaidi kujaribu kitendo kama hicho.
 
sajumo

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Messages
1,712
Likes
767
Points
280
Age
30
sajumo

sajumo

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2013
1,712 767 280
Hizo story nimezikuta hapa zakhemu kibonde Maji Jamaa aliemda kuoa akachukua mshenga MTU mbili Tu. Mkwe kawauliza wenzenu wako wapi? Tumepika chakula kingi.jamaa akasema sisi wawili tunatosha.Jamaa akaletewa sinia akafuta akanywa na togwa ndoo lita kumi.kulikua na gogo la mnazi limeanguka uwanjali kalibeba amamuuliza mkwe niliweke wapi? Mkwe macho yamemtoka gogo la kubeba watu watano,baada ya kuondoka mahari ilirudishwa. Kuna jamaaa huyu nilimshuhudia anaitwa wa mmongo.jamaa alikua naguvu hatali kwa madreva wa matipa ya mchanga miaka ya 2000 lazima umjue. Askari maturubai walikuwa wanamuogopa sikumoja nami nipo kawajambisha askali saba wakatulia mwanaume anakatiza zake njia ya kibulugwa.alikua anadhulumu wapakiaji wenzake ukitoka mgao hella yote anachukua yeye. Aliwahi kumpiga bondi japo si bondia laundi ya tatu mtu kazima.muda wote koti kubwa na buti anatroti kama mbwa. Mpaka raia walipo mchoka ikaaandaliwa mechi timu mmoja ikachukua kama baunsa majoe huko.dk za mwisho mechi ikaanza twimbili timu zote mashabiki wakachenjia piga sana na kumuacha uwanjani wakijua kavuta.kaja kuokotwa na wanajeshi baada ya kujivuta hadi kwenye vichaka anavidonda mwilimzima kaenda kuvutia temeke baada ya siku tatu. Huyo ndo mbabe was zakhem wamongo
True said wammongo huyo mtu akiyekula sahan hakubakisha alikua anatwa mbalanganda mm ni mkazi wa charambe ya magengen nilkulia pale nilipata story kutoka ka faza angu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa nzi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
4,455
Likes
3,712
Points
280
Mtoto wa nzi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2012
4,455 3,712 280
Ahsante kwa mchango wako lakini hapa bado inaniacha na maswali kidogo labda uniweke sawa

1. Kama waliangamizwa na gharika je hao 'MAJITU' yaliyokuja baada ya gharika mfano Goliath au Mfalme Ogu walitokea wapi??

2. Kama walitokana na malaika ina maana malaika walizaa upya na wanadamu baada ya gharika??

3. Kama walikuwepo baada ya gharika je kizazi chao kimeishia wapi kiasi leo hatunao tena duniani??

Tutoe tongotongo kidogo
Ukimsimamisha Steve Nyerere na Hashim Thabit utakuwa umewapata tayari magiant
 
GAGL

GAGL

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Messages
205
Likes
69
Points
45
GAGL

GAGL

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2010
205 69 45
Habari za asbuhi wana jukwaa, niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema je Giants/Majitu makubwa yanayoelezwa kufika hadi futi 45 waliwahi kuishi hapa duniani?? na kama waliwahi kuishi walitoweka wapi?? Na kwanini siku hizi hawazaliwi tena??

Hadithi za uwepo wa hawa watu zipo karibu katika kila kabila na jamii hapa duniani kwa mfano wahispania wana historia ya Giant (basajaun) ubelgiji alikuwepo antigoon, indonesia (Buto), waebrania (Goliath), Irimu wa wakikuyu na Yalmavuz wa uturuki nikitaja kwa uchache.

Hata vitabu vya kidini na kihistoria zimewaongelea hawa watu embu tuone mifano kidogo

WANEFILI
Mwanzao 6:4
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile; tena, baada ya hayo, wana wa Mungu walipoingia kwa binti za wanadamu, wakazaa nao wana; hao ndio waliokuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa

Kwa tafsiri ya kiingereza

Genesis 6:4
4There were giants in the earth in those days; and also after that, when the sons of God came in unto the daughters of men, and they bare children to them, the same became mighty men which were of old, men of renown.

Inaelezwa watu hawa walikuwa ni majitu makubwa yenye nguvu yanaongelewa pia kwenye vitabu vya kihistoria kma Book of giants tunaona watoto wa Semyaza kina ohyah na hahyah walikuwa ni majitu makubwa sana yanazidi futi 100!!!..... Pia kitabu cha Enoko (book of watchers) anaongelea watu hawa ambao walikuwa ni wakubwa sana na walikuwa wakitesa wanadamu maana walidai vyakula kuliko viwango vyao vya uzalishaji na wakaanza hadi kuwala wanadamu wenyewe.... So dunia ilijaa vurugu tupu kipindi cha kabla ya gharika sababu ya hawa WANEFILI

2. WANA WA ANAKI (ANNUNAKI)
Kwenye vitabu vya dini hawa pia wanaongelewa kama WANEFILI ambao ni majitu marefu yenye nguvu sana

Hesabu 13:33
32 Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala watu wanaoikaa; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu warefu mno.
33 Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.

Walisema haya baada ya waisraeli kutuma wapelelezi kwenda kukagua nchi ya kanaan iliyokaliwa na wana wa Canaan mtoto wa Ham wakiwemo Waamori,waamaleki,wayebusi,wahiti,Hivitites,Gilgashites n.k ambao kwenye biblia wanaelezwa kma majitu makubwa na marefu yaliyoishi Canaan kipindi waisraeli wanataka kurudi kwenye nchi yao ya ahadi

Amos 2:9
9 Lakini nalimwangamiza Mwamori mbele yao, ambaye urefu wake ulikuwa kama urefu wa mierezi, tena alikuwa na nguvu kama mialoni; lakini naliyaangamiza matunda yake toka juu, na mizizi yake toka chini

NB:Mierezi ni miti mirefu sana sasa iliopatikana huko lebanon

QURAN TAKATIFU
Mfano ambao upo ndani ya Quran ni Mfalme Og wa Bashan au kwa kiarabu alifahamika kma Uj ibn Anaq huyu alikuwa mfalme wa kale ambaye alikuwa ni mrefu sana na ana mwili mkubwa tunaambiwa alikuwa na futi 13 na alikuwa na nguvu sana,pia kwenye Quran anatajwa Jitu linaitwa Jalut ambalo nalo linaelezwa alikuwa mtu mkubwa mwenye maguvu sana kuliko umbo la kawaida la mwanadamu.

GILGAMESH
Huyu ametajwa na Enocko kwenye book of giants kwamba alikuwa ni JITU kubwa sana lenye manguvu kiasi kwamba lilitangaza vita na Mbingu..... Inadaiwa alitawala ufalme wa sumeria (Uruk) enzi za kale na alitawala kwa miaka 126... Ana stori ndefu kidogo itabidi afunguliwe uzi siku moja (Epic of gilgamesh) ila kwa leo nimemtaja tu kma mmoja ya GIANTS

USHAHIDI WA KISAYANSI
Hii ni baadhi ya mifano tu ili twende pamoja... Na baadhi ya tafiti zimefanyika wamepata ushahidi wa miji walioishi hawa wanefili ambayo majengo yao tofali moja tu haliwezi bebwa na kifaa chochote cha sasa hivyo wameconclude ulijengwa na MAJITU haya ndio pekee yana uwezo wa kubeba tofali kma zile miji hii mfano ya maeneo hayo ni magharibi wa mto yordani, Pia Hebron, mesopotamia na maeneo ya mashariki ya kati. Kwa maeneo zaidi angalia kiambatanisho cha video hapo chini kuhusu majengo hayo afu uniambie kma mwanadamu wa kawaida angeweza kujenga kulingana na technologia ya kipindi kile!

Pia ushahidi mwingine ulipatikana na mtafiti Georges Vacher de Lapouge na mifupa akiita Giant of castelnau... Mifupa hiyo kwa picha inaonekana ni ya kibidanadam ila ni mikubwa kuliko ya mwanadamu wa kawaida maana estimation ilifika futi 12 hivi ya urefu kwa kutumia mifupa hiyo ya miguu

WALIISHIA WAPI HAWA MAJITU??
1.Kwenye vitabu vya kihistoria na dini wanadai kwamba wanefili walikufa kwenye gharika la Nuhu ila cha kujiuliza kma kweli walikufa kwenye gharika walirudije baadae mfano hao waamori au wayebusi walikuwa ni wanefili (wajuzi mtusaidie hapa)

2. Kuendana na kitabu cha Joshua tunasoma kwamba alidhamiria awaangamize wote ili waweze kuiteka Canaan na kuiweka mikononi mwao..... Ila tunaona HAKUUA wote sababu wengine walikimbia hivyo waliachwa wakaishi miji ya kusini (Gaza ya sasa)

Maswali ya kujiuliza

Je asili yao ni nini mpaka wakawa wakubwa hivyo??

Je uzao wao uliishia wapi??

Je watu hao walikuwepo kweli??

Je kwanini siku hizi hawazaliwi tena??

Ahsanteni kwa kusoma,karibuni kwa michango View attachment 748594 View attachment 748595 View attachment 748596 View attachment 748597

CC wanajukwaa wote bila kuwasahau
Malcom Lumumba, hearly Da'Vinci ,Te Lavista,Kiranga Elungata ,nyabhingi ,Mchawi Mkuu,Eiyer ,Mshana Jr n.k
Hapo Mtwara kusini mwa Tanzania kuna makaburi yanayosemekana ni haya majitu (human dinosaurs) makaburi hayo yanafikia hadi urefu wa futi 12, nimesahau jina la hilo eneo, lakini naamini idara ya mambo ya kale au wizara ya maliasili na utalii watakuwa na taarifa hizo.
 
Mmexico

Mmexico

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Messages
308
Likes
251
Points
80
Mmexico

Mmexico

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2016
308 251 80
Kadri teknolojia inavyoongezeka wanadamu watazidi kudumaa kimaumbo, hata ukichukulia miaka ya zamani watu waliishi kwa kupambana na mazingira wakitumia nguvu nyingi sana hivyo kuwaimarisha miili yao kuwa imara zaidi.

Ndio maana hata umri wa kuishi unazidi kufifia kizazi kwa kizazi,

Lishe duni mfano chips yai, soda, ambapo watu/wa zamani walitumia vyakula vyao vya asili kama asali, nyama, vyakula jamii ya mizizi na matunda pori kwa wingi.

Modern mankind is a weakest creature ever existed!!
Hata wanyama nao wamezidi kuwa wadogo, Je wanakula chipsi yai?
 
Mmexico

Mmexico

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Messages
308
Likes
251
Points
80
Mmexico

Mmexico

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2016
308 251 80
Naona sababu ya hawa watu kupotea ni human races/kind interactions. Majitu hayo makubwa yalikuwa machache sana ukilinganisha na wakina sie.
walipoonza kuingiliana na kuzaliana na tumbegu twetu, Size za vizazi vyao zikawa zinapungua, The same kwa wanyama.
hayo mastori ya kina nuhu na safina ni uzushi tu wa kitoto
 
Mwadunda

Mwadunda

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Messages
1,156
Likes
310
Points
180
Mwadunda

Mwadunda

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2013
1,156 310 180
Kwa mujibu wa biblia kadri binadamu tunavyozidi kutenda dhambi ndivyo tunavyomkasirisha Mungu ndio siku zetu za kuishi zinavyopungua, na wale wenye miili mikubwa wengi wao walikua wanafanya kufuru sana rejea historia ya Farao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091