Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,392
Yani huko ukitaka kuishi vizuri lazima uwe na kazi kuanzia mbili...yani mtu analala kama dawa..na kazi huko ni kazi haswa sio huku mtu upo kazini unachati
umeshawahi kufanya kazi huko ukaona wanavyolala kama dawa?
mwenye kazi chini ya mbili anakufa?
kazi huko kazi haswa mfano ipi?