Dunia ya Sasa ni kijiji ,ukiona nchi imeendelea Africa ni kuwa diaspora wamechangia 90% ,anayekataa uraia Pacha ni mwendawazimu wa kikoloni,Kwa Tanzania wanaokataa ni ccm Kwa sababu hawataki mawazo mapya au ushindani mwingine hasa ,kwenye uchumi,siasa nk.Mwenye uwezo wa kujadili uraia wa mtu mwingine ni MUNGU .Fikiria Kwa mfano CCM walivyo na uhuni eti muungano ukivunjika waarabu watakuja ,,,,,,hizi ni fikra mgando au ubinafsi kwenye dunia ya kijiji,mfano mwingine kwamba diaspora akiwa Tanzania na nchi nyingine ataleta vita yaani hizi Imani za kinjekitile ngwale!Tanzania tunawatu wengi nje ambao Kwa sasa wangekuja kuwekeza nyumbani tena angewekeza Kwa u chungu ili nchi yake ipate maendeleo lakini Leo hii bongo anawekeza mchina ambaye anauza Karanga kariakoo na mbagala huku watanzania wakiachwa nyuma na fedha zikienda China au ulaya lakini Kwa mwekezaji mtanzania fedha zingebakia hapa Tanzania .Kwa nchi za EAC baada ya miaka 10 wenzetu Kenya watakuwa ni Moto wa Kuotea mbali.