Naunga mkono hojaManeno ya maskini hayo
Maskini wa roho wana roho mbaya ya asili
Utakataza mtu asiende kuzika?Suluhisho, msiruhusu watu wasio na uhusiano na marehemu kuhudhuria mazishi, iwe kama harusi ambaye hajaalikwa asije, kwani atakayekuja ni yule tu ambaye atakuwa ameguswa, na siyo kila takataka matokeo yake ndiyo hayo.