Diana-dabodiff ndani ya nyumba.

Mwambie kwanza akale ngisi ashushie na pweza ashushie na tikiti maji nd akuone shosht aache kuleta kiswahili kirefu dabo diff si short chasis babueee
 
Mbona kuna mapedeshee wengi tu wana namba za Tigo, lakini kwenye business card zao wameweka za Vodacom.... akikupa kadi yake anakwambia ninapatikana kwenye mitandao yote, lakini ukinikosa piga namba hiyo hiyo kwa Tigo ya kumi na tatu!
 
Mi nitakuja Mburahati week end hii kule kwa yule mzee anae choma kiti moto unapajua pale Diana? Yule anae choma swine week end tu.

Mazee speed zako kali sikuwezi huyu mwendee na line ile ya tiGo lazima mtajiexpress!
 
Ngoja niwajibu hapa nimepata pm nyingi sana lakini sijaona hata moja ya kujibu,kwa kifupi zilikuwa nivute na dabodiff yako,nakula ngisi na pweza na matikiti kwa wingi,napata konyagi nakuja??? Jamani si inabidi tujuane kwanza,maongezi ya kawaida na baadae tunaweza fika huko.
 
Mbona kuna mapedeshee wengi tu wana namba za Tigo, lakini kwenye business card zao wameweka za Vodacom.... akikupa kadi yake anakwambia ninapatikana kwenye mitandao yote, lakini ukinikosa piga namba hiyo hiyo kwa Tigo ya kumi na tatu!

Asante Mwanahaki hebu nisaidie wengi wanaweka namba za Vodacom au Zain kwenye card kama status symbol.Nami kama mtoto wa kike siwezi kutimia Tigo si hadhi yangu.
 
Back
Top Bottom