Diamonds on Neptune

Diamonds on Neptune

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
BwJ-aPCIYAAeX7u.jpg
 
Kuna mtu kadhani eti ni Naseeb Abdul alipoliona jina la Diamond
 
Hata mwadui kuna diamond

Usinikumbushe machungu ya nchi hii yani niangalia umaskini wa shinyanga na hiyo rasilimali waliyo nayo na kwamba wanaofaidi ni kikundi kidogo cha watu naumia sana
 
Kama kuna mvua ya almasi basi miamvuli itakuwa ya dhahabu...
 
Ukitumia jina la science unaweza ukadanganya chochote, Kwa sababu hakuna mtu anayeweza kufika huko na kuprove basi inabidi tukubali
 
aaah inabidi tushauri baadhi ya watu wabadili majina yao...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom