Diamondplatnumz Hii Nyimbo aliua sana

Diamondplatnumz Hii Nyimbo aliua sana

Binafsi diamond naona aliua sana katika je utanipenda... kuanzia mashairi, uimbaji, video kalii..zari nae kanogesha sana swaga zake
 
Naungana na wanaosema the sound.
Hii nyimbo kwangu ndio the best. Na haleluyah
 
Najua anaongelewa Diamond..lakini nimeshawishika kusema kidogo kuhusu huu wimbo mpya wa Harmonize unaitwa Sandakalawe..kijana ametukana waziwazi anasema nina hamu ya kuto....hadi uwe wangu..na hata pale mwishoni wanacheza kama wanapiga naniliu hivi...hawa wakifungiwa na Basata wanaanza lalamika!
 
Ngoma kali kasa..imepikwa na Kelpvibe..

Sio yale madufu ya S2kizzy ya Kamata..ushuzi mtupu.
Huyu S2kizzy Diamond aachane nae tu nina wasiwasi hizo nyimbo nyingine alozorekodi kwake zikawa za kipuuzi kama huu wa sasa. S2kizzy either sio mkweli anapoona wimbo mbovu au uwezo wake wa kawaida.
 
mond muacheni kama alivyo huyu kiumbe! huu uzi ukifikisha comments 100, nina uhakika nyimbo zote za dai zitakuwa zishatajwa na kila mtu akisifia wa kwake... kwangu mimi "inama" ndo the best na ndo ringtone ya kuitia mpaka leo
 
Diamond kuna sehemu utamchukia lakini pia kuna sehemu lazima atakufurahisha tu. Kwangu jamaa napenda nyimbo zake nyingi ila Ukimwona, Inama, African beuty na alioimba na Patoranking [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Damn Nyimbo ya Diamondplatnumz ft Omarion African beauty [emoji91] Iseee ni nyimbo kali sana Unaweza kusahau shida zako zote za Duniani Mwana aliua sana utazani sio yeye aliyeimba #KAMATA [emoji3]
Hatutoi Kiki
 
Kiukweli jamaa kipindi anatoka na pale kati yupo za zari alikua anatoa chupa kali.
Toka zile kamwambie, kesho, no 1, ntarejea, nana nk nk , ila saivi daah sijui content zimeisha kelele zimekua nyingi sana au ndio nyimbo zinazotakiwa uko duniani!!?
Chris Brown wa With you na
Chris Brown wa Go Crazy unaona wapo sawa ?
 
mond muacheni kama alivyo huyu kiumbe! huu uzi ukifikisha comments 100, nina uhakika nyimbo zote za dai zitakuwa zishatajwa na kila mtu akisifia wa kwake... kwangu mimi "inama" ndo the best na ndo ringtone ya kuitia mpaka leo
Yeah "inama" is the best kuliko hata "yope" for me

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
1.Nataka kesho twende ukamwone mama
2.Ukimwoma
3.Nitarejea
4.Nataka kulewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom