donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
Vp kufanana naye pia mlimwambia kafanana?

hahahhaha, Nawajua wote yule bonge Si mweusi nywele anachana kama wanyarwanda..ukitaka namba yake nakupa anaitwa Epines!! zile fukwe zote wananijua....mimi nilikua ndo mitaa yangu hiyo kupunga upepo

Hahahaha!! Ila napamisi sana huko mahali huwa kuna kautulivu fulani Amazing sana