Diamond Platnumz: Wasanii wa kike wanaliwa sana, sitaki Tiffa awe msanii

Malia obama sasa analiwa sembuse wa kwakoo aseeee ww subili tuuu aanze zilee tabia pendwa
 
Halafu huyu si kalipa deni au? Maana waswahili wanasema kit*mbi lazia uzao wake wa kwanza apate baby girl kwa kulipa deni
 
Yeye kawala mpaka kawamaliza utamu, wakwake hataki aliwe, kipimo upimacho ndio utakachopimiwa, asubiri nae aje apimiwe
 
Wasanii woooote wa kike eleweni kua Diamond kawatukana, kawadhalilisha, kawa aibisha, ninyi ni Malaya, wahuni, wazinzi na hamfai kwenye jamii. Ni rai yangu huyu bwana awaombe msamaha. Kukaa kwenu kimya kwa namna yoyote kunamaanisha ni kweli hayo mnayafanya. Poleni kwa matusi makubwa kwenu. Swali, kawafunua nyote? Unganeni nyote kwenye hl suala. The viseversa is true
 
Back
Top Bottom