Diamond Platnumz: Wasanii wa kike wanaliwa sana, sitaki Tiffa awe msanii

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Mwanamuziki Diamond amesema angependa mwanae Nillan awe msanii ila hatapenda mwanae Tiffa awe msanii kwa kuwa wasanii wa kike wamekuwa wakiliwa sana
Amesema pia yeye amepita na wanawake wengi sana kutokana na status aliyonayo ila kwa sasa ametulia na Zari na anampenda kwa kuwa anajua maisha

Basi amle mwenyewe,ila hata afanyeje ataliwa tu!
 
Hata dini inasema ukizini na mtoto wa mwenzio na wako watu watakuja kumzini awemsanii asiwe msanii watu watagonga tu paka atatamani asingekuwa mwanae
 
Aende zake huko hana jipya tena aache kuwadhalilisha wanawake. Kuliwa ni tabia ya mtu sio kwa sababu ni msanii. Mbona mtaani kuna wanaoliwa sana INA maana nao ni wasanii?. Pia kuna wasanii wa kike ambao wametulia. Muziki ni kazi kama kazi zingine hivyo asiseme wanawake wakiingia kwenye fani hiyo wataliwa Bali kuliwa ni tabia ya mtu bila kujali kazi yake
 
Awe msani aswe msanii
Hata awe anafanya kaz
Mochwar hicho kitumbua
Kitaliwa tu chup atavuliwa
Bila kupenda
 
Mwanamuziki Diamond amesema angependa mwanae Nillan awe msanii ila hatapenda mwanae Tiffa awe msanii kwa kuwa wasanii wa kike wamekuwa wakiliwa sana
Amesema pia yeye amepita na wanawake wengi sana kutokana na status aliyonayo ila kwa sasa ametulia na Zari na anampenda kwa kuwa anajua maisha

Sory mkuu sijaelewa wanaliwaje
 
Amesema kweli kwa kuwa yeye pia ni msanii, hii inatufunza kuwa hakuna mafanikio KWENYE huo usanii isipokuwa ni kutafuta umaarufu Na kuutumia kupatia Pesa, ndio maana kama mzinzi anataka kumzini msanii unaweza honga sh 500,000 kwa tendo moja ili hali anaweza pata mwanamke mzuri kuliko huyo msanii mtaani kwa sh 10,000 tu. Sasa hapo diamond anatufundisha kuwa usanii hasa kwa watoto wa kike ni umalaya Na ndio maana Na yeye hapendi mwanae awe Malaya, Sasa Kazi kwako wewe mzazi unayeng'ang'ania eti usanii ni Kazi kama Kazi zingine, angalia hata wasanii wa nje NAO pia wote ni washenzi wa tabia
 
Back
Top Bottom