Diamond Platnumz raised a MONSTER

Diamond Platnumz raised a MONSTER

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nnapofanya kazi kuna Dr Mmoja ana PhD ananiambiaga, Ogopa sana mtu akiwa na PhD na hela 🤣🤣🤣🤣🤣, tuombe uzima kabla ya 2013 nikiwa hai hii kitu ntapambana niwe nayo ili nipunguze maneno kama unavyonipunguza maneno wewe mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mkuu pambana maana vinginevyo utapswa kuwa mpole sana
 
Kaka wakumbushe tuu .. alikuepoo . Mr nice..
Kumbuka DEATH ROW ilishawah kuwa Record label kubwa duniani na ikawa na msanii ambaye inasemekana ndio the NUMBER ONE BEST RAPER EVER ( 2 PACE), leo hii hakuna kitu, Suge ndio huyo yupo ndani kapigwa mvua za kutosha, label kama cash money/young money wanatamba tu...Maisha huwa yanabadilika mzee, HAKUKUWAH KUWA NA REDIO KUBWA KAMA CLOUDS HAPA TZ leo Kuna hadi kina Majizzo wanatamba tu...
 
Back
Top Bottom