aliiba wapi wanamkuza kwa ujinga ule ule tu wa diamond kaiba nyimbo ya nani hamjui kunaruksa ya kufanya samplingAmeiba kazi ya msanii wa kenya... Ata audio hamna
The one diamond aliiba kimabavu kabisa kwa msanii aliyemshirikishaaisee hamna hata moja ila video zake anaiga sana ndugu kwani tatizo liko wapi ? msiposema ukweli hawa madogo mziki wao utadrop alafu mtashangaa
Ongea basi ueleweke.. Mbona unachanganya mambo..aliiba wapi wanamkuza kwa ujinga ule ule tu wa diamond kaiba nyimbo ya nani hamjui kunaruksa ya kufanya sampling
Saivi hakuna video mpya... Labda ukashoot mwezini... Kila video ukiichambua utakuta imefanana na fulani
Hamna kitu....bure kabisaa...yy na kaka yake wote kwa pamoja.
NB.
Nina degree 4 so jichek kabla hujaanza kunikosoa.
Ebu tuambie unamaana gani kusema WCB hawawezi kumzuia?
Ume andika ukiwa umetoka usingizini au
Hamna kitu....bure kabisaa...yy na kaka yake wote kwa pamoja.
NB.
Nina degree 4 so jichek kabla hujaanza kunikosoa.
haijafutwa imewekwa pending Youtube wanachunguza kuangalia madai kama ya kweli!..Uno haipo you tube imefutwa....!!!
WCB ni label kubwa na yenye mashabiki wengi kuliko msanii yoyote so kwa akili yako harmo anaweza kumfikia hata robo ya diamond?Maana yangu ni kwamba, wao si ndio Giants wa mziki Tz ? and we all know what they have been doing to KIBA, sasa katoka Kenge walomkuza nae anajua kuwinda swala kama wao, He knows all their ways ndio mana nakwambia they cant stop him..WEWE MUSIC INDUSTRY YA BONGO UNAIJUA VIZURI ??
Kama darasa la 7 kindly pita hivi 👉We Mnyachusa me dalasa la saba hatuta elewana mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
WCB ni label kubwa na yenye mashabiki wengi kuliko msanii yoyote so kwa akili yako harmo anaweza kumfikia hata robo ya diamond?
Kama darasa la 7 kindly pita hivi [emoji117]
AhahahahahHaya mkuu nimekuelewa, ila Namimi nifasoma hayo madegeree kama ninyi ( Kwa sauti ya kipemba ) 🤣🤣🤣🤣
WCB ni label kubwa na yenye mashabiki wengi kuliko msanii yoyote so kwa akili yako harmo anaweza kumfikia hata robo ya diamond?
Ahahahahah
Ahaha.Naongea utani ila sipend manyanyaso ya Elimu sijui kwanini ? ngoja nitulie nije kusoma kitu ingine tu for fun, yan nkikaa na kina mwakyembe tunaongea tu namna ya kulima viazi huko mwakareli mambo ya madegree ameyaweka pembeni mana akianzisha tutabishana...yan duniani tusiongee nao au kuargue nao kisa hatupo level moja kielimu ? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.....
Ahaha.
Level mnazolingana ni kujadil mambo ya kulima viazi tu...ki layman zaid...Shukuru hata kwa hili mkuu kupata chance ya kukaa karibu na mwenye degree 4