loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,767
Ukishajua itakuwaidia nini shehe wangu.Hivi kati ya Diamond Platnumz na Samatta nani anaweza kuwa na pesa nyingi kumzidi mwenzie? Mimi naona Samatta, kuishi Ulaya zaidi ya miaka nane halafu kucheza Aston villa huku unalipwa milion Mia kwa wiki hii ni wazi kuwa Samatta ana mpunga mrefu sana ila hajataka kuyaweka wazi mafanikio yake ya kipesa.
Diamond Platnumz yeye ni tajiri wa magari na show off.