Utabiri wa kichawi kama huu ulianza toka mwaka 2015 ambapo Diamond alipotoa remix ya nyimbo yake maalumu kwa CCM ' My Number one ( CCM my number one)', na kufanya kampeni 2015 kwa mgombea wa urais CCM The late JPM wapiga ramli kama wewe walimtabiria kuporomoka kimuziki
Lakini baada ya hapo time after time Diamond akaendelea kufanya vizuri zaidi kimuziki