Diamond Platnumz atua na Rolls Royce 2021

Mna ufwala mwingi sana ,P Square,Fally Ipupa,Koffi wanamiliki zamani tu,hjawaongelea kina Wizy na Tekno tena zamani sana.
Hawana kelele.
Kama Kweli kajitahidi👏👏
 
Mimi
😂😂😂😂
Kwa mimi uelewa wangu mdogo kutokana kua petrol head wa kuunga unga nnacho elewa hio gari ni luxury suv so matairi yanayotumika kwenye gari yanakua sio ya offroad bali ya special for tarmac roads

Anavosema sijui gari sio mpya inaweza isiwe lakini bado si chini ya milion 800 huko

Hata kwa akili ya kuunga unga tu watanzania hata kama kweli lingekua used mtu anunue gari la billioni ashindwe kununua tairi mpaka zichakae ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…