Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,452
- 12,319
Hii ni hatua nzuri kwa music wa Tanzania na East Africa kwa ujumla.
'Timu kiba walivyo na wivu wanakuja hapa na madongo
We, hicho chuma ni soo mjomba, bado kina madini balaaDah huyu Alisha chuja, diamond anatakiwa kukutana na wasanii walio pick sasa huyu Wizzy dah...
Diamond anatakiwa atoe ngoma Kali na wasanii wanao hits kwa sasa
Mkuu huyu ni nani yupo na Wiz?
WakaziMkuu huyu ni nani yupo na Wiz?
Hahaahahahahaha
Mkuu bado sijakusoma, una maanisha Wakazi ni jina? Kama ni jina ni msanii wa wapi?Wakazi
Hajawahi kutoa boko huyo jamaa,sio kwa nyimbo zake alizoimba yeye mwenyewe au alizoshirikishwa,mfuatilie tuDah!
Ni Wakazi msanii wa bongo hip hopMkuu bado sijakusoma,una maanisha Wakazi ni jina? Kama ni jina ni msanii wa wapi?