Mwanamuziki nyota wa Tanzania leo ameweka Record ya kuwa msanii wa kwanza wa tanzania kupata deal kubwa zaidi ya ubalozi. Diamond amesaini mkataba huo leo akiwa na mpenzi wake zari the bosslady mbele ya waandishi wa habari wakati vodacom wakizindua campeni yao mpya ya ONGEA DEILEE.
Siku za hivi karibu diamond alikuwa akipost kwenye instagram kwamba big day kwenye maisha yake inakuja na hatimae imetimia , meneja wa diamond bwana sallam amethibitha kwamba siku kubwa waliokuwa wanasubili imetimia.
watu wa karibu wamethibitisha kwamba diamond amelipwa dola $660000.
hongera kijana unavuna ulichopanda.
Hongera sana Dogo umelamba BIG BROTHER misimu miwili dabali wakati wenzako wana safishwa na kuuziwa mimba,tulia na ZARI ndio nyota yako ya jaha huyo.Mwanamuziki nyota wa Tanzania leo ameweka Record ya kuwa msanii wa kwanza wa tanzania kupata deal kubwa zaidi ya ubalozi. Diamond amesaini mkataba huo leo akiwa na mpenzi wake zari the bosslady mbele ya waandishi wa habari wakati vodacom wakizindua campeni yao mpya ya ONGEA DEILEE.
Siku za hivi karibu diamond alikuwa akipost kwenye instagram kwamba big day kwenye maisha yake inakuja na hatimae imetimia , meneja wa diamond bwana sallam amethibitha kwamba siku kubwa waliokuwa wanasubili imetimia.
watu wa karibu wamethibitisha kwamba diamond amelipwa dola $660000.
hongera kijana unavuna ulichopanda.View attachment 321161 View attachment 321160
Pole sana wakala wa kodi, KIJIBA HICHO.Ila serekali ikumbuke kodi kwa haya majamaa
Shikamoo Bi. Faizafoxy= wanasubiri
Kulipa kodi ni kijiba cha roho....? insanity insanity insanityPole sana wakala wa kodi, KIJIBA HICHO.
Achana nao, naamini hapo pia kuna mkono wa Zari. Huo ndio uanaume hata kama ni bibi (afterall K is constant) ila noti inaingiaHaters gonna hate go chibu[emoji122] [emoji122] [emoji122]