Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,757
- 2,353
atakuwa yupo bize kuhesabu hela mpaka anasahau kuimba...
Na ww ubane basi usimamishe tanzania nzima ikuskilize ww kama alichofanya cloudsDomondi hana kipaji chochote. Kubana pua ndiyo kipaji Mkuu? Ameshashtukiwa na kuchokwa huyo Domondi
Kwa sababu uzinzi ni dhambiHata wachezaji wanaambiwa wapunguze ngono sijui kwa nini?
Cc PROF NDUMILAKUWILIKwa sababu uzinzi ni dhambi
Cyo tatizo au nenda mahakaman upate haki yako...Ume copy na kupest kutoka Instagram sasa umesahau ku edit.
nilitaka niweke comments ya kupuuza lkn hapo jibu lako ni toshaCyo tatizo au nenda mahakaman upate haki yako...
Team Kibakuli kaziniUme copy na kupest kutoka Instagram sasa umesahau ku edit.
Hapana bwana WCB. Nilikua namkumbusha tu si unajua Hashtags hazifanyi kazi JF.Team Kibakuli kazini
Hahaa.. Mkuu ulikua ushauri tu sorryCyo tatizo au nenda mahakaman upate haki yako...