Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Ooooooppppppssss been longtime in here,can't beleive this sred z still existing!!! Life goes so fast
 
Cjui baada ya zari kupata alllichokita yaani umaarufu atahamia kwa mtu maarufu wa nchi gani wacha tusubiri tuone huenda ikawa zamu ya nigeria au sauz au hata ghana
 
Washamba siyo waliopo shamba tu, hata mjini wapo kibao.

Mwambie huyo mlugaluga ajifunze kusoma kwanza.
Na ajifunze sio kila kinachoandikwa humu basi ni serious....
Kuna thread nlikua namtania mwenye thread hajui wapi pa kuweka h, basi nami nikaandika "Hasubuhi" tena nikaibold kabisa, basi huyu kalibeba kuwa sijui kuandika hebu akajambe kule....
Baba S ulinambia utanitoa tukale ice cream nasubiri mwaliko wako.
 
Sio wasiachane, ndomo kashaachwa ndo maana anatapa tapa kujipendekeza kwa zari ili aonekane na yeye anaweza kutoka na mademu wakali, wakati ndomo kwa zari hafai hata kuwa kijakazi wake, yule demu ni next level, ana Elimu na utajir wa kutosha ndomo vyote hana , sasa unategemea nn kama sio kufanywa golikipa? Na bado ndomo mwaka huu atahangaika sana ata akipiga picha na lupita mama ubaya hamtaki tena atajiju

Haya maneno uliandika mwaka 2014 kweli Diamond sijui atasemwa kwa lipi jipya na ndio kwanza anashain
 
Kijana naona kachoka,anajikaza tu.
Zile mbwembwe zote "dabliucibiii beibeee'
Ushapigwa?Zari kaondoka na chake na life yake yote as you work you pay Child support.
Nyumba kule sahau,km kuna ulichoacha sahau,hapo bongo vyote vyako ,akikuletea wanao badae uwaone labda tena ukiendelea kuwa staa.
Nilikwambia hapa unaviziwa tu na huyo demu siku uko KTK hali mbaya anamalizia

Karibu kutuliza akili jipange,sallam haonekani,babutale kakomaa atakuacha soon,Leo hii we wa kuweka caption za kumlilia maaamaa eh mamaaa(kaolewa na mario mmoja muhuni tu)
Kazana na hali yako
Mzee ulikua juu sana,ila kolabo hasa za wapopo ndio zimekupaisha
Kaigiza kila nyimbo wapopo wanamwangalia tu siku hizi.
Davido anajuta pia kumpa Diamond mbwelele kumpeleka international
ila ka move on na life
Sa hii Tekno.Wizzy.Davido Acha kina P,square huko zamani pale dogo anajifananisha nao,hao jamaa hawana hata meneja mmoja ila temporary wanaajiri pale wana tenda.
Tena kiuangalifu temporary,hao madogo wakienda mtoni ama popote sharti huko andaeni mlinzi,dancers,mziki mzuri mi nikija namalizia.
mfano show ya Chris Brown Kenya,yule alienda kula bata tu,maana aliwapa masharti magumu na jamaa walikubali akalipwa.
Ndo ile katua na private jet kapumzika kaenda kupiga dk 90 akasepa.kamaliza mkataba.
Diamond kuna tour alilazimisha alipiwe ticket family nzima
 
Back
Top Bottom