Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hoja yako ya msingi ni ipi pafyumu bei ya juu umelalamika, kawaletea karanga bei chee na penyewe unalalamika so tukuweke kundi gani

Post sent using JamiiForums mobile app
Karanga mradi wa kipuuzi na usio na faida wala fyucha. Hivi nin kinaongezwa kwenye karanga zaid ya kukaanga tu. Pafyumu bei mbaya na jina halipo kibiashara.

Angetengneza angalau jeans na vitop au pedo akaviita platnumz, angeuza afrika mashariki na afrika nzima kwa faida nzuri.
 
wewe una biashara gani inayouza katika kitongoji chako na kata nzima?
 
Karanga mradi wa kipuuzi na usio na faida wala fyucha. Hivi nin kinaongezwa kwenye karanga zaid ya kukaanga tu. Pafyumu bei mbaya na jina halipo kibiashara.

Angetengneza angalau jeans na vitop au pedo akaviita platnumz, angeuza afrika mashariki na afrika nzima kwa faida nzuri.
Acha kabisa wewe. Hakuna kitu nakiheshimu kama karanga. Hao unaowaona wanatembeza barabarani kwenye makapu usiwachukulie juu juu.
.
.
Sasa mkuu kwani yeye akiuza karanga wewe unapata hasara gani? Tuelekeze kwenye mradi wako ulipo tuje tushuhudie.
 
Katika kipato chako mwezi huu tenga kiasi kidogo kwa ajili ya kupima afya ya akili yako
Umeshawah hudhuria clinic ya akili kabla? Ni ajabu binadamu timamu ati kujiita "mende" .

Halafu ulivokua kichwa mbovu hata hujanielewa nilivyokusanifu kwamba nauza "mende wasafi" .
 
Karanga mradi wa kipuuzi na usio na faida wala fyucha. Hivi nin kinaongezwa kwenye karanga zaid ya kukaanga tu. Pafyumu bei mbaya na jina halipo kibiashara.

Angetengneza angalau jeans na vitop au pedo akaviita platnumz, angeuza afrika mashariki na afrika nzima kwa faida nzuri.
Bakhresa anauza mandazi, chapati, nazi, kwa hiyo na yeye ni kilaza na izo biashara hazina future siyo.....kaka hujielewi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Acha kabisa wewe. Hakuna kitu nakiheshimu kama karanga. Hao unaowaona wanatembeza barabarani kwenye makapu usiwachukulie juu juu.
.
.
Sasa mkuu kwani yeye akiuza karanga wewe unapata hasara gani? Tuelekeze kwenye mradi wako ulipo tuje tushuhudie.
Mkuu huu uzi si ni wa kumshaur the dangote , maoni yangu ni hayo. Ww huna la kusema kuhusu biashara alizobuni karibuni? Vizuri.
 
Umeshawah hudhuria clinic ya akili kabla? Ni ajabu binadamu timamu ati kujiita "mende" .

Halafu ulivokua kichwa mbovu hata hujanielewa nilivyokusanifu kwamba nauza "mende wasafi" .
Ww ndo hujielewi jamaa kakujibu kiakili sana kwa kuwa ww dishi limecheza basi umejaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Umeshawah hudhuria clinic ya akili kabla? Ni ajabu binadamu timamu ati kujiita "mende" .

Halafu ulivokua kichwa mbovu hata hujanielewa nilivyokusanifu kwamba nauza "mende wasafi" .
Shida ni kuwa mwendawazimu huwa hajui kuwa yeye ni mwrndawazimu...kaichomoe akili yako ulikoichomeka ndo urudi hapa...shubamit
 
Bakhresa anauza mandazi, chapati, nazi, kwa hiyo na yeye ni kilaza na izo biashara hazina future siyo.....kaka hujielewi

Post sent using JamiiForums mobile app
Unafananisha uwekezaj wa baharesa na mcheza shoo wenu? Kilaza mkubwa wee.
 
Shida ni kuwa mwendawazimu huwa hajui kuwa yeye ni mwrndawazimu...kaichomoe akili yako ulikoichomeka ndo urudi hapa...shubamit
Hahaha mende kakasirika, sasa sijui huyu ni mende wa chooni au wa jalalani. Ha ha wewe utakuwa mende wa bafuni sababu ni mende msafi;
 
Unafananisha uwekezaj wa baharesa na mcheza shoo wenu? Kilaza mkubwa wee.
Hata bakhresa alianza mdogo mdogo mpaka kafikia apo na kipindi anaanza kuuza mandazi wenye akili ndogo kama ww walimshangaa lkn asa iv ni bilionea kupitia izo biashara, kweli ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi, ndugu una akili ndogo sana kama pliton.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huu uzi si ni wa kumshaur the dangote , maoni yangu ni hayo. Ww huna la kusema kuhusu biashara alizobuni karibuni? Vizuri.
Nilitegemea kuona ushauri unaojenga na sio kuponda. Sina tatizo na biashara zake kwasababu yeye mwenyewe anajua hasara na faida zake. Kila mtu akiuza jeans nani atamuuzia mwenzake karanga?
 
Umeongea point sana kaka, wabongo tushakalili kuwa msanii ni lazima auze nguo so diamond kuuza karanga wanaona kama kapotea.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hata bakhresa alianza mdogo mdogo mpaka kafikia apo na kipindi anaanza kuuza mandazi wenye akili ndogo kama ww walimshangaa lkn asa iv ni bilionea kupitia izo biashara, kweli ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi, ndugu una akili ndogo sana kama pliton.

Post sent using JamiiForums mobile app
Kama dream yake aje kuwekeza na kuwa na viwanda kama baharesa, ni vizur nitamuombea dua njema. Sasa akili Panadol uzi huu ni wa kumshauri, unamshaur the dangote gani jingine au we huwez mkosoa?
 
Hahaha mende kakasirika, sasa sijui huyu ni mende wa chooni au wa jalalani. Ha ha wewe utakuwa mende wa bafuni sababu ni mende msafi;
Alipofika domo amefika bila ushauri wako...unadhani nani ni timamu zaidi kati ya yeye na wewe?...anyway sijui kipato chako huenda ukawa na ukwasi wa kutosha, ila jifunze kuthamini Jitihada za wengine, kama chibu perfume huwezi kununua si utafute nivea upite zako...!!
 
Back
Top Bottom