Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Ipo mkuu ondoa shaka, ila siku hizi zile nyuzi zote zimekufa baada ya mods kuleta unazi
 
Kitendo bila kuchelewa ndio siri ya mafanikio, huu msemo mshana jr anaufahamu vema, laiti mshana jr angekuwa raia namba moja, kelele za escrow sijui IPTL zingeshashughulikiwa long kitambo!!!

Back to Diamond

Mazungumzo baada ya habari yamewajia kutoka radio JF.........
 
Diamond X Usher Reymond
 

Attachments

  • 1476500959220.jpg
    1476500959220.jpg
    31.5 KB · Views: 46
Woyooo! Naona uzi wetu umerudi.. Sijui waliuficha wapi..

Hebu tuufufue tena wakuu.. Winners, watu wa mipango, Wadau, wapenzi na mashabiki wote wa # WinnersCycle WCB.. Hiki kijiwe chetu kimerudi..

Sasa Nifah ole wako mkafufue kile kiuzi chenu cha kiba, si unajuaga nikikasirika
 
Mimi kama mtanzania mzalendo najivunia sana Diamond. Ni mpiganaji. Kwanza atambue kuwa baadhi ya watz hupenda kukatisha tamaa wenzao pale wanapochomoza kimaisha. Diamond unaweza sana. Ushauri wangu kwako kuwa kioo cha jamii kiukweli, heshimu watu wote, heshimu wazazi wako, heshimu mwenza wako, somesha watoto. Napenda couple yako na BossLady Zari!
 
Mimi kama mtanzania mzalendo najivunia sana Diamond. Ni mpiganaji. Kwanza atambue kuwa baadhi ya watz hupenda kukatisha tamaa wenzao pale wanapochomoza kimaisha. Diamond unaweza sana. Ushauri wangu kwako kuwa kioo cha jamii kiukweli, heshimu watu wote, heshimu wazazi wako, heshimu mwenza wako, somesha watoto.
Kabisa Mkuu! Diamond ni kioo na mfano wa kiigwa na wasanii wengine Tanzania na Africa kwa ujumla..

Hakuna msanii aliyeoigwa vita na media na haters kama Diamond lakini mpaka sasa amebakia kileleni na kuwa moja ya manguli wa hii industry Africa..

Bravo.
 
Back
Top Bottom