Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Sikiliza:

Diamond Ft. French Montana - All The Way Up Remix [Snippet]

thumb.php

http://afrsound.com/index.php?a=track&id=28
 
1475476155981.jpg
Hili ni wazo la jogi nimeamua kulifanyia kazi
Ni kweli kabisa kumekuwa na nyuzi nyingi kumhusu Diamond, na cha kusikitisha zaidi hakuna uzi mmoja maalum kwa ajili yake star huyu aliyetutoa kimasomaso kwa kuitangaza nchi yetu kimataifa kupitia fani ya music maarufu kama bongo fleva
Akianzia na wimbo wake Tatizo kwetu mbagala ameendelea kufanya vema na kupata mafanikio mengi ndani na nje ya nchi
Kama tuna uzi maalum wa mzee Majuto kwenye fani ya vichekesho ni vema tukawa na huu kwa Diamond
1475476147772.jpg

CC: Moderator Invisible
 
Hapana mwasu Mond kwasasa ni level nyingine kwenye nyanja zote
-uwekezaji
-cash
-utunzi
-umaarufu
- Kipaji nk
Kabisa ila kumbuka wabongo zetu fitina maana hata uwekezaji wake bado baadhi ya watu wanaukosoa kuwa ni kidogo kulingana na pesa anayovuna, huoni watu wanavyotoka povu?!
 
Back
Top Bottom