Diamond platinumz ashusha thamani ya shillingi ya TZ

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Shukrani kwa mchumi grade one niliyekuwa nimekaa naye jana kwenye ka pub kamoja kalichozungukwa na maji machafuyaliyoshindwa kupata njia ya kupita kutokana na serikali za mtaa chini ya CCM kupuuza miundo mbinu.

Huku akishushia konyagi na nusu kilo ya kitimoto aliniambia" kijana,Profesa Ndulu alitaja mambo ya Tanesco na kununua mabehewa naye waziri magu aliongelea suala la wahisani kugoma kutoa hela kutokana na wale wazalendo wa ccm walioiba hela za Escrow lakini wamesahau kitu kimoja,Diamond platinumz"

"Huyu kijana kila akienda nje anarudisha nyumbani dola nyingi kama laki mbili na watalii wengi wameongezeka bongo kwa ajili yake,wewe unadhani ni kwanini hadi Rais anamfagilia?unadhani ni kwanini aingie kwenye kitabu cha miaka 51 ya Muungano kina Mbaraka mwinshehe,Moris Nyunyusa waachwe?"

Siku hizi haendi sana nje kwa hiyo dollar zinazoingia nchini zimepungua ndiyo maana shillingi inashuka,aliongeza expert huyo wa uchumi
Mwishowe akanidokeza kwamba yeye ndiye anhusika kumtafutia Diamond na zari,private jet ya dollar million 20 ambayo itatua bongo soon
Adios.
 
Kwani leo 7/5/2015.usd inauzwa bei gani?
 
hivi huyu Diamond si ndo alipelekewa barua na TRA ya kutakiwa kulipa kodi kwa kipindi chote alichoanza muziki
 
TRA sio watu wazuri wakiamua kukufilisi OVERNIGHT wanakufilisi bila hata kupoteza muda.
 
yaani inawezekana mwalimu kwa mwaka akawa analipa kodi kubwa kuliko anayolipa DIAMOND PLATINUM... kwani diamond anakale kamachine ka electronic???,,, vipi maodita naye wanamkagua kama walivyoenda kwa gwajima,, maana hizi hela wanazotutangazia kwenye magazeti wanapata halafu kodi hawalipa hamuoni kama wanatunyonya hawa??? kuna haja ya kuhakikisha hawa jamaa nao wanalipa kodi na wale bongo movie walipe kodi na ili tumpunguzie mwalimu huu mzigo... Kila siku wanasanii watanzania wanalilia hati miliki hati miliki lakini hatuwasikii wakiandamana kuishinikiza serikali wanataka kulipa Kodi kama watanzania wengine walivyoelemewa na huu mzigo hasa wafanyakazi>>>>....

TIME FOR FACT NA SIO UJANJAUJANJA...
 
Shukrani kwa mchumi grade one niliyekuwa nimekaa naye jana kwenye ka pub kamoja kalichozungukwa na maji machafuyaliyoshindwa kupata njia ya kupita kutokana na serikali za mtaa chini ya CCM kupuuza miundo mbinu.

Huku akishushia konyagi na nusu kilo ya kitimoto aliniambia" kijana,Profesa Ndulu alitaja mambo ya Tanesco na kununua mabehewa naye waziri magu aliongelea suala la wahisani kugoma kutoa hela kutokana na wale wazalendo wa ccm walioiba hela za Escrow lakini wamesahau kitu kimoja,Diamond platinumz"

"Huyu kijana kila akienda nje anarudisha nyumbani dola nyingi kama laki mbili na watalii wengi wameongezeka bongo kwa ajili yake,wewe unadhani ni kwanini hadi Rais anamfagilia?unadhani ni kwanini aingie kwenye kitabu cha miaka 51 ya Muungano kina Mbaraka mwinshehe,Moris Nyunyusa waachwe?"

Siku hizi haendi sana nje kwa hiyo dollar zinazoingia nchini zimepungua ndiyo maana shillingi inashuka,aliongeza expert huyo wa uchumi
Mwishowe akanidokeza kwamba yeye ndiye anhusika kumtafutia Diamond na zari,private jet ya dollar million 20 ambayo itatua bongo soon
Adios.

natumia nafasi hii kucheka kama vile nipo kwenye luninga natizama ZE COMEDY ya kina BAMBO nafananisha hii topic na comedy ya MZEE wa MAGUMASH
 
Shukrani kwa mchumi grade one niliyekuwa nimekaa naye jana kwenye ka pub kamoja kalichozungukwa na maji machafuyaliyoshindwa kupata njia ya kupita kutokana na serikali za mtaa chini ya CCM kupuuza miundo mbinu.

Huku akishushia konyagi na nusu kilo ya kitimoto aliniambia" kijana,Profesa Ndulu alitaja mambo ya Tanesco na kununua mabehewa naye waziri magu aliongelea suala la wahisani kugoma kutoa hela kutokana na wale wazalendo wa ccm walioiba hela za Escrow lakini wamesahau kitu kimoja,Diamond platinumz"

"Huyu kijana kila akienda nje anarudisha nyumbani dola nyingi kama laki mbili na watalii wengi wameongezeka bongo kwa ajili yake,wewe unadhani ni kwanini hadi Rais anamfagilia?unadhani ni kwanini aingie kwenye kitabu cha miaka 51 ya Muungano kina Mbaraka mwinshehe,Moris Nyunyusa waachwe?"

Siku hizi haendi sana nje kwa hiyo dollar zinazoingia nchini zimepungua ndiyo maana shillingi inashuka,aliongeza expert huyo wa uchumi
Mwishowe akanidokeza kwamba yeye ndiye anhusika kumtafutia Diamond na zari,private jet ya dollar million 20 ambayo itatua bongo soon
Adios.

Teh teh teh, eti 'Mchumi grade one'!!!! Ndio anaweza kuongea pumba kama hivyo? Labda useme mlevi grade one...
 
Diamond na wasafi classic baby yake awe makini sana, JK akiondoka lazima aletewe zengwe na TRA, aanze kupeleka kodi mapema,
 
Nilidhani nimepotea Jukwaa,
Jukwaa kama hli kwa Hadithi za uongo km hizi ni makosa ya kimtandao kabisa (Cyber Crime)
"Huyu kijana kila akienda nje anarudisha nyumbani dola nyingi kama laki mbili na watalii wengi wameongezeka bongo kwa ajili yake,wewe unadhani ni kwanini hadi Rais anamfagilia?
 
Back
Top Bottom