Diamond nusura achomwe kisu kasheshe kweli bongo yetu.............

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,146
10421347_580731028693192_4377337665548077824_n.jpg
 
Watanzania bhana,hivi kwa akili za kawaida mnaona hizo picha ni za tukio moja...kama ni kweli bas huyo muuaji ni ----,kwenye haraiki ya watu kma hivo anaendesha baiskeli..afu bisu liko nje nje.?shigongo wapeleke waandishi wako shule waache porojo.
 
Anatafuta attention kaamua kutengeneza story. Sasa atakapochomwa akili itamkaa

Kipenzi huko ni zaidi ya kumchukia ndomo, umeona kuna sehemu yoyote kapeleka taarifa ya kuwa alinusurika kuchomwa kisu? Hilo neno KUTAFUTA ATTENTION mbona limekuwa kama Wimbo wa TAIFA!!!! Usiamini kila unachokisikia, Utakuwa mwehu wa mwisho ukiyaamini magazeti ya udaku werevu washaacha kusoma hayo magazeti zamaaaaaaaaaaaaani za kuambiwa changanya na zako (in kikwete's voice)
 
yani magazeti ya udaku dah..kweli umbea umbeani.kisuchenyewe cha kukatia vitunguu
 
Kwa uchunguzi wangu picha ya mwenye kisu alikuwa kwenye misele yake pengine biashara za kutumia visu kama vile embe, machungwa, madafu n.k. Walichofanya waleta habari wakaunganisha na picha za tukio jingine ili kutengeneza habari.

Kweli kasheshe bongo yetu
 
Back
Top Bottom