Diamond na Zari wakava jarida la Mamas and Papas la SA

Daimondi angeoa kadada kadogo kwake kenye mtoto 1 tu halafu hakama mpunga wa kutosha angetukanwa sana, ila single mother mwenye hela hata awe monopoziii wabongo watamsifia balaaa
 
MTOTO : Eti baba mwanaume ni nani?

BABA : Mwanaume ni mtu anyejali familia yake,anahakikisha wanapata mahitaji ya msingi na anailinda vyema.

MTOTO : Nikiwa mkubwa nataka niwe mwanaume kama mama.
 
Kuna kipi kipya hapo?Mbona hizo picha walishazipost Instagram kitambo hicho?

Wasingepost hizi picha hapo kabla wangeshtua sana.
 
Back
Top Bottom