Diamond na Zari wakava jarida la Mamas and Papas la SA

Zari kambadilisha sana mondi asee kutoka ujanjajanja wa tandake mpk mjanja wa sauzi! Hataree sana
 
Unakuta mtu anafuatilia mahusiano ya diamond na zari wakati nae ana mke na mtoto. Ushamba na umbea tu
 
Ali Kiba ashaimba na R. Kelly, nini jarida la South Africa!
 
Jambo Zuri Sana

Hapo Ndipo Ninapo Amin Mapenz na nyota

Kuna watu ukiwa nao Wee utakuwa mtu wa visa na mikasa mabalaa na shida

Ila kuna watu ukiwa nao Furaha upendo mafanikio zitatawala
I totaly agree with you!!!!!!!!
 
Ustar n kaz sana
Sometimes kujidalilisha bla
Hata kuona aibu

Beyonce,na j z ndo
Mastar wanaojitambua tu
 
Back
Top Bottom