Diamond na Zari waanza white party kihivi!!

Wakati mwingine unaweza ukadhani kuwa akili za watanganyika huwa zinaganda na kuyeyuka...na hiyo inajidhihirisha kwa kujinasibisha na vitu vya kipuuzi ambavyo kwa mtu mwenye utimamu wa akili ni aghalabu kuvifanya ama kujinasibisha navyo...kwani kwenye maisha yake havina mantiki.......
Kibaya zaidi kuna watu wameshagundua upungufu wetu wa akili na uwezo wetu mdogo wa kuchanganua mambo...na wanaitumia njia hiyo kujiongezea kipato..na hatimaye kuwa matajiri......WAJINGA NDIO WALIWAO..
Maneno kuntu hayo lakini sasa kuna watu kama wakina Le Mutuz kwenye mambo haya wala hawawezi kukuelewa
 
Diamond is very intelligent. Mnataka akachukue wa saizi yake manzese halafu apotee kwenye ramani??? Mdogo wangu diamond kula raha mtoto zari ni mzuri sana japo ana watoto watatu. Bora mzee mwenye watoto watatu kuliko wa umri wako aliyekwishatoa mimba 12
 
mil 3 bora nikanunue shamba chalinze niweke ardhi kwa mwanangu et zari na domo nikichukua hiyo elfu 50 nawatoa family out na kujiongezea furaha ya familia mitaa ya home tu.

Nimecheka sana mkuu,yaani badala kuanzisha mradi wa kuku wa nyama nikatupe 3m kwa siku moja tena kuwafanya wazidi kuzini na kutuona wajinga sana,nasapoti mkuu ila mm nitanunua chanika.
 
Hivi hawa diamond na zari ndio kitu gani najuta kufungua ujinga huu, hakika nimepotea njia, kwaherini
 
mil 3 bora nikanunue shamba chalinze niweke ardhi kwa mwanangu et zari na domo nikichukua hiyo elfu 50 nawatoa family out na kujiongezea furaha ya familia mitaa ya home tu.

Hilo shamba kila mwka unasema nitanunua:becky:
 
ivi Diamond asichotafuta kabinti ka umri wake kitu gani kila siku anaibuka na walomzidi umri kisa nini??
mbaya zaid huwaga anatafuta wale ambao kama ni bidhaa basi ni ile ya nyongeza yaani hanaga wakwake ambaye ni ingizo jipya na leke yy kama yy
Ushauri wako haumsaiidii kulipia bills. JAribu we mwenyew kuutumia kama utakulipia bills:becky:
 
ivi Diamond asichotafuta kabinti ka umri wake kitu gani kila siku anaibuka na walomzidi umri kisa nini??
mbaya zaid huwaga anatafuta wale ambao kama ni bidhaa basi ni ile ya nyongeza yaani hanaga wakwake ambaye ni ingizo jipya na leke yy kama yy
Kuwa maarufu si kaZi Ila kaZi kuu maintain umaarufu
 
ivi Diamond asichotafuta kabinti ka umri wake kitu gani kila siku anaibuka na walomzidi umri kisa nini??
mbaya zaid huwaga anatafuta wale ambao kama ni bidhaa basi ni ile ya nyongeza yaani hanaga wakwake ambaye ni ingizo jipya na leke yy kama yy
Huo Wivu au umeamua tuu kumnanga Diamond wa watu?Madhalani ukagongana vikumbo mlimani sity na wewe siutatupost hadi huku JF.
Wivu pia ni maradhi na yanauwa hahaha.....
 
Target ya Diamond ni kupata mtu ambaye ni maarufu, ili aendelee kuwa kwenye magazeti na story! Kama unakumbuka wakati yuko na Penny alipotea kiaina midomoni mwa watu!

In short ni mapenzi na business! Anaangalia nyota.

Nakubaliana na wewe alisimia 200, nimekuwa nikifuatilia kwa kina mwenendo wa Domo ni kweli u super star wake unaendana na kiki kama hizo hapo, na hata Wema atakua analijua hilo inamaana amemuacha kwa muda apandishe chati yake then wanarudiana without prob!
 
Huo Wivu au umeamua tuu kumnanga Diamond wa watu?Madhalani ukagongana vikumbo mlimani sity na wewe siutatupost hadi huku JF.
Wivu pia ni maradhi na yanauwa hahaha.....

FPS ivi mie huyu huyu niwe na wivu na Dayadomo, ivi kisa nini?
nimeanza maisha kabla hata hajazaliwa, mwanangu wa kwanza ameanza kusarandia mabinti kabla hata ya yeye huyu kujua kuuficha utupu wake afu eti nije nimuonee wivu kisa nini?

mpelekee taarifa mwambie yeye hali yake ya kandambili, hadhi yake maliwaton chumban anaishia mlangoni...........
bidhaa ya nyongeza hii halali yake kuongezwa .....................
 
nimeanza maisha kabla hata hajazaliwa mwanangu wa kwanza ameanza kusarandia mabinti kabla hata ya yeye huyu kujua kuuficha utupu wake afu eti nije nimuonee wivu kisa nini?

mpelekee taarifa mwambie yeye hali yake ya kandambili, hadhi yake maliwaton chumban anaishia mlangoni...........
bidhaa ya nyongeza hii halali yake kuongezwa .....................
Mwalimu kumbe na wewe mkorofi sana bana....
 
FPS ivi mie huyu huyu niwe na wivu na Dayadomo, ivi kisa nini?
nimeanza maisha kabla hata hajazaliwa, mwanangu wa kwanza ameanza kusarandia mabinti kabla hata ya yeye huyu kujua kuuficha utupu wake afu eti nije nimuonee wivu kisa nini?

mpelekee taarifa mwambie yeye hali yake ya kandambili, hadhi yake maliwaton chumban anaishia mlangoni...........
bidhaa ya nyongeza hii halali yake kuongezwa .....................

Wacha weeee hahahaaaa!!
 
Back
Top Bottom